President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,620
- 94,218
Tunawajua wakenya project huwa hazikamiliki.Kwa wale wa AI, hio dar mnaona kwa picha si fupi ya Dar vumbi.
Hio ni the famous Dar Al-Handasah. They also designed Africa's tallest tower in Egypt.
- Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) and Wilson Airport (WAP)
View attachment 3611323
na zikikamilika lazima majengo yaangukeTunawajua wakenya project huwa hazikamiliki.
Kama expressway, Talanta stadium, dual highways spanning several kilometers in rural Kenya...na gani tena bongolala?Tunawajua wakenya project huwa hazikamiliki.
wacha wee ebu tuone highway ya kutoka one section straight to pit latrine stadiumKama expressway, Talanta stadium, dual highways spanning several kilometers in rural Kenya...na gani tena bongolala?
Wakenya wote ni matapeli, hakuna anaye aminikana zikikamilika lazima majengo yaanguke
Nani asiyejua kuwa yote hayo yapo chini ya kiwango. Expressway imeanza kumeguka kabla hata yakuanza kurudisha mtajiKama expressway, Talanta stadium, dual highways spanning several kilometers in rural Kenya...na gani tena bongolala?
wako busy kutafuta mtu ambae sio tapeli wakati nchi nzima matapeli 🤣 🤣 wamchague tu Teargass awapikie vyakula kama hiviWakenya wote ni matapeli, hakuna anaye aminika
View attachment 3611367
Source from Kenyan media, the same media iliyowahi spread kuwa. Tanzania inazuia animal migration kwa kutumia helicopter 🤣🤣🤣