Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyamwezi Sina muda na wewe. Ulishasema kwamba hata hizi za Bayern Munich sio skyboxes


Sijui najadiliana na wewe kwa nini kuhusu hili.
Talanta haina skybox hata moja. Nyinyi ndio mko na skybox na ndio hii hapa. Congratulations!


I hope you are happy now
 
one more thing, this is to remind you that! No any stadium in the region can ever come close to the achievements of Mkapa, And it will never happen nenda kawauliza Al Ahly, wydad, tp mazembe, berkane wote watakupa ushauri
 
I said the same ANGLE kijana wa Tandale. This is an aerial view. Is it the same angle of the picture that I posted? Wacha kujifariji
Sasa hiyo picha ya 2008 leo ni 2016, unataka iwe hivyo hivyo mpaka leo? 🤣 🤣 🤣 Umeumia sana nilipokuwaptia arial view photo na imeonesha hakuna nyumba hizo anymore.

But Pole
 
one more thing, this is to remind you that! No any stadium in the region can ever come close to the achievements of Mkapa, And it will never happen nenda kawauliza Al Ahly, wydad, tp mazembe, berkane wote watakupa ushauri
View attachment 3610396
I know that. And that's because it's the only stadium with a skybox in the region. Congratulations Nyamwezi on this achievement. Having a skybox that looks like this is no mean achievement
Congratulations once again
 
Skyboxes are built in VIP sections in stadiums where they (skyboxes) exist. Huwezisema uko kwenye skybox just because uko kwenye VIP section hata kama uwanja yenyewe haina skybox.


we ni mpuuuzi tu, Teargass ni mbishi ila hawana upumbavu ulionao wewe, ulishamuona mada ya sky box kairudia and tunamtania apa all day? kama sio ***** basi ushakua ***** tayar


 
I know that. And that's because it's the only stadium with a skybox in the region. Congratulations Nyamwezi on this achievement. Having a skybox that looks like this is no mean achievement View attachment 3610399
Congratulations once again
we fala nn, maelezo hayakutoshi? ama mpaka tukuongezee panga la uso ujue kusoma



 
Sasa hiyo picha ya 2008 leo ni 2016, unataka iwe hivyo hivyo mpaka leo? 🤣 🤣 🤣 Umeumia sana nilipokuwaptia arial view photo na imeonesha hakuna nyumba hizo anymore.

But Pole
Yoh are no different from most Tanganyikans in this forum. Very low comprehension levels. I posted a picture then you claim ni ya 2008. I tell you to post the same pic same angle ya 2026 unakuja na vijimaneno na povu kujiliwaza na picha ya juu which obviously inst the same angle as I requested. Burukenge tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…