Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Guys naona watu mnabishana sana kuhusu skybox au jina lingine private box. Nimefanya kazi ya hospitality kwenye viwanja vya Premier League teams.
Nimesoma sana mabishano yenu lakini sioni hata mnachobishana ni nini? Somehow wote mko sahihi. Ila msikariri skybox lazima iwe hivi au vile.
Viwanja vingi vya premier league hata ukiwa unatazama mpira kwenye TV kuna eneo katikati ya jukwaa na jukwaa huwa lina vioo pale ndio zipo skyboxes. Private boxes zina ukubwa tofauti kulingana na mahitaji. Kuna private boxes I. Form of bar lounge. Kuna private boxes double storey kama penthouse uwanja niliofanyq kazi muda mrefu hii ilikuwa Directors box.
Skyboxes ndogo mara nyingi zinamilikiwa na corporate firms au rich individuals. Skyboxes kubwa mara nyingi zinamilikiwa na owners wa uwanja. Hizi ndio huwa zinatumika kwa hospitality packages kwa groups and individuals.
Private box zote ukitoka kwemye vile vioo Kuna sehemu private ya kuangalia mpira,hii ni kwa ajili ya client wa box hio tu. Unaweza kuangalia mpira ndani au ukatoka nje kwenye hivyo vitu. Private boxes zinatumika kila siku sio siku ya mpira tu,viwanja vinatumika sana kwenye hospitality business. Uwanja wa Mkapa hauna private box,kitu ambacho kilinishangaza sana.
 
Hold on, how does correcting your grammar equate to associating with the west bro, I’d say that you should change your perspective on simple matters like those. Don’t take them as a personal attack. Had we been communicating in Chinese, perhaps the same could’ve happened so be open minded instead and accept that we’re not perfect and jf or any platform can be used for learning as well.

Your second paragraph is precisely what my observation was from the first post I made, before you went on a monologue of why we shouldn’t compare ourselves to them, regardless of, Im glad you circumnavigated back to where we started.
 
Show me one example of a project that was started by Uhuru and canceled when Ruto stepped in. (Not planned projects but projects that were underway)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…