So mkenya akikuambia ukweli nikua anamchukia mtanzania?...Tunawajua wakenya hamuwapendi watanzania.
What be the names of those slums surrounding the Chinese establishment?
Kwel kabisa they have homes and they make the most money meanwhile nywele ngumu artist struggles in mukuru😂😂true, the evidence is on the wall ... their superstars and elite a majority of them have homes either in Nairobi or Mombasa, kule kama wanapiga story, one of their biggest flex nikusema " nimewahi kufika Nailobi"😂😂😂
View attachment 3585110
Even the seats makes it stand outNow this is what makes Talanta Stadium to stand out. Very few Spectators watachomwa na jua, kule kwa wachawi come rain or sun ni kuchapwa bila huruma.🤣🤣😂
View attachment 3585132
Maneno 1,000 ya mkenya, ni moja tu la ukweli, wakati mwingine ni zeroSo mkenya akikuambia ukweli nikua anamchukia mtanzania?...
Ndo nashangaaa kwann wanapingana na ukwel, eti hawaamini pale plastic Arena patakua na VAR na Goal line techhakuna haja upingane na ukweli.
Ndo nashangaaa kwann wanapingana na ukwel, eti hawaamini pale plastic Arena patakua na VAR na Goal linehakuna haja upingane na ukweli.
Tuwekee video akisema nairobi is london mke wa woria
Hawa jamaa kwanini majumba Yao ni chakavu sana na huwa hawasakafii?
Ebu tuone train inaopitia apo
Hehhe mzee si ushaambiwa 10th extremely poor village on earthHawa jamaa kwanini majumba Yao ni chakavu sana na huwa hawasakafii?
Umeelewa nn apo blonde lady
Unfortunately you cant use sport washing with EuroBond
Whats funny, no one wants to work with you mpaka mje kuomba, In short who wants to work with a poor village?Watanzania watapiga kelele online while we work on ground.
View: https://x.com/i/status/2052220079123661026
Apo wakina hakimi ni mwendo wa kunukia moshi mpaka wanafika uwanjan
DOnt talk sense to TeargassTunajua ukikua utaacha. Utoto bhana!!
Kitu unatakiwa ujue ni kuwa that Road is under massive expansion (2 to 4 and 6 lanes) , sehemu ya Mradi mkubwa wa 250Km dual carriage road from Igawa to Tunduma.