Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Endelea kusubiria open or close, sasa totooo?

View: https://x.com/TaifaDaily/status/2047215178798764501?s=20
 
Wewe tuonyeshe any stadium in Tanzania with Fascia Boards, hizo zingine achia CAF😂😂😂.

Again when it comes to matter of not hosting either Final or Opening Match then Tanzania is the country that will not host any😂😂
Ongeza maandalizi ya open and close usijali, i have already made your life easy toka last week, nlikupa insider info uganda this time wamegoma sasa wewe endelea kusubiria open and close, sawa tooo? pamoja na yule mwaiofhawaii andaeni premium TEARS


View: https://x.com/TaifaDaily/status/2047215178798764501?s=20
 
umesahau wakenya are stupid? huoni wanavojazana kwenye rally zake kwenda kuskiliza michambo badala ya sera, kila siku ni kuongelea soprano
 
Hii ni kiingereza au kinyamwezi?
Why don't you just stick to Swahili?
 
Hii ni kiingereza au kinyamwezi?
Why don't you just stick to Swahili?
cha muhimu umeelewa gachagua, wewe swala la AFCON lipo on our hands and sisi ndo tunajua how international football inatakiwa kwenda
 
umesahau wakenya are stupid? huoni wanavojazana kwenye rally zake kwenda kuskiliza michambo badala ya sera, kila siku ni kuongelea soprano
Na jamaa anaweza kushinda Urais mwaka kesho kumbuka Mumbi nation ipo behind yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…