Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 2,027
- 5,381
Home market supermarket alone ni kubwa kulingana na hizi malls ulizopost budaa ππ imagine a single supermarket with 4 storeysSupermarkets are all over Kenya.
Let's do Kisumu which is the third City in Kenya just like Arusha is the third City in Abegistan.
Carrefour Supermarket in United Mall.
View attachment 3571775View attachment 3571776View attachment 3571777View attachment 3571778View attachment 3571780
China Square Mega City Mall
View attachment 3571782View attachment 3571783View attachment 3571784View attachment 3571805View attachment 3571836View attachment 3571837View attachment 3571838
Hiyo supermarket sio league yenu kaka ukikubali ukweli haufi. Wenyewe wanakwambia wanauza aina zaidi ya 1000 zilizopo humo.Kwa hivyo number of floors ndio ukubwa wa supermarket? Typical bongolala reasoning.
Hakuna supermarket ya caliber hiyo ukunduni kote nje ya Nairobi. Ukibisha Bishana kwa hoja. Leta malls tushindanishe na hiyo supermarket otherwise tulia. πBro Yani anaturingia about Supermarket?πππ
90% of Kenyans use Supermarkets, wewe I'm sure you have never shopped in oneπ.
Hauna supermarket yenye ukubwa huo hapo ukunduni, usijifanye eti ni jambo la kawaida. πππ I challenge you ulete supermarket ka hiyo ukunduni nzima.You are bragging about a supermarket? π
To Kenyans
pain is that youHow can you know what better views are when you have spent entirety of your life in the bush?
π€£ π€£ the what happend you are the 4th world wide is slum population?70% of Tanzanians live in Slums while on 40% of Kenyans live in Slums.
That's according to World Bank.
leta evidence ya world bank ambayo ni latest, hatutaki lile li screenshot lenu la toka 90'sLeta evidence from World Bank, sio maneno Tu.
what an expensive poverty view π€£πππ
View attachment 3571893
70% of Tanzanians live in slums.Sio slums
Ni informal settlements
Maeneo ambayo hayajapimwa. Slums ni kama zile za Kenya ambazo watu wanaishi kwenye mabanda ya nguruwe
View attachment 3571899
70% of Tanzanians live in slums.leta evidence ya world bank ambayo ni latest, hatutaki lile li screenshot lenu la toka 90's
Mmepata Supermarket moja sasa mnajiona wanzilishi WA supermarkets. Kijana supermarkets are everywhere in Kenya.Hujielewi we mzee. Hizi ndio utalinganisha na hiyo ya Arusha aliyopost hapa?
do you have any latest report than 2022?
So in short Arusha only have one supermarket?ππ. To make it worse it doesn't even have a branch anywhere in the country.None is four storey! plenty in Arusha!
ofcourse otherwise hujaenda shule! usifananishe Home market Arusha na vitu vya kipumbavu!Kwa hivyo number of floors ndio ukubwa wa supermarket? Typical bongolala reasoning.
Nenda ukalilie world Bankdo you have any latest report than 2022?
πππ
View: https://www.instagram.com/p/DW_z0u0DdiR/Hii ndo maaana halisi ya Daily dose sasa