Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata kabla ya Afcon hapo sio porini. Hilo ni eneo la mradi wa Safari city wa NHC, nyumba zilishaanza kujengwa hapo.

Lakini meskia makonda akisema eneo kubwa la karibu na uwanja wameliuza kwa mwekezaji wa nje atakaejenga kamji hapo even before Afcon.
Before AFCON ni uongo.

AFCON ni mwakani mwezi wa 6.

Tuna mwaka tu.
 
Hujielewi we mzee. Hizi ndio utalinganisha na hiyo ya Arusha aliyopost hapa?
 
None is four storey! plenty in Arusha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…