Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,205
- 107,804
Wao wako busy na vikao vya kamati za senate na bunge kuishinikiza treasury ifafute hela kabla ya deadline wasije wakaibika na kuchekwa na majirani zao 🤣🤣🤣#Teaser Afcon 2027#
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/tz.chineseembassy/posts/pfbid02kQ3k2RjWoMicPqravpkDFkHqRkG32EGW45YsTjkVwRdbZYk4NbRC6MvnNn6phT1el?__cft__%5B0%5D=AZZa_JPsdhTmBQirMjCduXGPtsnoknp9-T5QAqdAl5wV7PdcFgk2k9eIMp5dcDpQZo5a-l_hmKlB_orI0qsSBOf4ZoEaKFOYkLkn_KH_sZ-1idjSkG644F0a7H3mKKJ4jHgT7yv6uDSCuXXLBQ74KlkkmtL9CKF-P_6l82IQ06l29mn3vvcg5pLWV64Ac8oGh6aYvkuSPi42z8AojaIyXXmw&__tn__=%2CO%2CP-R
MY TAKE
mara ohoo uwanja upo mbali haupo accessible! Watu wa kimyakimya wanaendelea polepole!
Teargass IamLee nairobae Nairoberry NairobiWalker Nicxie n mwathadan
RIP in advance 🤣What is shocking there? The fate of KQ is already sealed a long time ago; everyone knows that it's not news anymore.
ivi hizo ndege ni za kenya kwel maaana last time nmeangalia share holders, sjaona gov of kenyaNa tukisema mnafatilia news za Kenya like your lives depend on it mnakuja hapa na nyenyenye...uko radhi kujua yanayoendelea KQ lakini kinachofanyika ndani ya ATCL hata huna habari
zmebaki 4 days, treasury sjui atatoa wap maokotoWao wako busy na vikao vya kamati za senate na bunge kuishinikiza treasury ifafute hela kabla ya deadline wasije wakaibika na kuchekwa na majirani zao 🤣🤣🤣
pole pole uhalisia unaanza kujulikana
🤣 🤣 let your fellow kenyans wanaojua mpira wakusaidia kulalamika wewe amna kitu unajua kuhusu mpiraWhy should I when they are used world over?
kwahio wewe una akili kuliko media zote za kenya na wale activist walioanzisha movement ya kuondoa izo siti 🤣🤣Why should I when they are used world over?
huu mzigo wa japan nn mbna wa moto ivo, anyway kuna huu mwingine apawanaopaswa kubishana na sisi kuhusu modern SGR!
View: https://www.instagram.com/p/DWO-4d8gl8w/?e=1747e3e2-51b4-4015-8cfc-b52ee2e068c3&g=5
Yaani kama katoto cha kilimanjaro, alafu unakuaga na snow seasonallyMount Meru 🇹🇿🇹🇿
Even the 2nd tallest mountain in Tanzania looks better than Mount Kenya 😂😂 🔥🔥
View attachment 3562470View attachment 3562471
ngombe wa slum hazaiI told you last year ile superficial profit ya mwaka jana ilikuwa ni ya kisiasa zaidi, it was a minor glitch in an otherwise a worsening trend.
wamewauzia na ardhi kabisa mbnaEven though I do not support Iran lakini siwezi kuwa kama hawa walamba matako meupe.