Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Weaker!!??

Timu zetu za taifa tatizo ni benchi la ufundi. Kocha Gamondi amekabidhiwa timu less than three weeks kabla ya AFCON na amepoteza mchezo mmoja dhidi ya Nigeria 2-1.

Ndio ujue ligi yetu iko juu sana na ndio ilikuwa inawabeba makocha wa hovyo. Gamondi ni bora kuliko makocha wote walioajiriwa 5 yrs ago. Ila tunahitaji benchi bora zaidi ya Gamondi.


View: https://x.com/KipepeComrade/status/1831374576754029037?s=20
 
Anaongea sanaa alafu vitendo hakuna, pesa ya mkapa wamekula mbwa hawa mabilioni ya pesa alafu uwanja upo vile vile, siku inakuja tutawawajibisha watake wasitake shetani hawa.
 
Kila mtu anajua kwamba wametumia udhaifu wa uongozi uliopo kujinufaisha, watalipa tu watake wasitake, watanzania wa sasa sio wa Nyerere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…