Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sidhani kama iyo outdated technology kama bado ipo kwenye vichwa vyao
 
Mwambie kwanini wanahamishia madeni yao kwenye currency ya kichina kama sio maji yamefika shingoni kutafuta ahueni ni nini?
 
Ni sawasawa na uchukue BJ50 ufunge engine ya 1VD - V8 engine 🤣🤣🤣
 
Debt to GDP ratio za all developed countries are above 100%, so what's your point?
View attachment 3491499
germany, japan, america, singapore etc hzo ni developed countries huku kenya ni developing country wale wenzako hawazungumzii barabara wala dawa hospitalini 😀😀😀😀😀😀

yani umefkia hatua ya kufananisha deni la developed country ambayo still inatoa msaada kwenu na developing country😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

kweli ww ni bogus wa aina yake
 
Kiini macho GDP amabayo hainokeni! unafanya mchezo na USD 200bn.
Wewe ndio huoni na huwezi ona, unajua uzuri serikali Kenya hua na framework, no matters who gets elected lazima uifwatilie. Tunashukuru Baba kwa kutuletea katiba mpya.
 
Good luck bwana. Wew wish you good.

Sisi huku by 2030. Tutakuwa top 5 poorest in Africa. Tukiendelea na uongozi wa sasa.
yani inasikitisha sana deni la tqifa kutoka 56 trillion mpaka 100 trillion in 4 yrs aisee inafikirisha sana 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
 
Unadhani Kenya ni maskini kama Tanzania? Are you aware that Tanzania walishindwa kulipa deni hadi wakasamehewa?
Fanya siku utembee maku,ufike hata somalia uondoe tongotongo machoni,naikundu imekufanya uwe zoba chokoraa maku ww,nyie mna utajiri gani hadi ujiweke level 1 na japan,mngekua matajiri mngejaa huko gulf na kwingineko kwa mshahara wa usd 400,fala kweli ww,hata wenzako humu washakujua kama ni kichaa
 
Income Group per Capita (USD)
Low Income≤ $1,145
Lower Middle Income$1,146 – $4,515
Upper Middle Income$4,516 – $14,005
High Income≥ $14,006
According to IMF our GDP per Capita is at $2550, based on historic projections we are on the path to join the upper middle income by 2040.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…