Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Thanks bro, I was going to tell him the same thing. They keep saying we here on jf wait for free Wi-Fi before responding to their silly questions nit knowing that we are not in the same league
Kweli hatupo league moja ci huku hatubaki mifugo wala hatuna ukabila so hamwez kuwa ligi na bongo never ever
 
ni vile we hupanda juu ya Mlima Kili kisha kuelekeza simu yako Kenya. waulize watanzania wenzako walioko maeneo ya kawaida changamoto wanazozipitia
Hujui hata niko wapi anko bt internet sio tatzo kabsa huku believe m au muulze mkenya mwenzio alotembelea huku
 
washow wakam Naii kuona majumba marefu marefu na automatic doors na lifts
Kwanza waende westlands......woi.watalia mashozi...unajua street za dar azina wa2 kabisa naukiona m2 no.mama na jishuka....Hanna miti na vile jua ya uko kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…