Hahaha Tajiri kuliko ....!!!Ninasubiri jibu la kuhusu master plan ya jiji la Nairobi. Kisha tutaendelea. Hapa ni kutoa jibu la picha au reference document. Ukisema kwa maneno tu haina maana yoyote. Hata mimi hapa ninaweza kukuambia ni tajiri kuliko Dangote. Lakini kukiwepo na evidences ndio tunajua.
Hivi wana Master plan ya jiji kweli .....??Nairobi leta master plan ya Jiji.
Baba hata kwenu kubaya tu mimi nahisi ungesema chochote juu ya currently DAR ila naona umeponda mpaka basi, Nairobi imetutukana sana na DAR yetu leo inaenda zaidi ya Nairobi bado hujaona baba!!! Hivi kweli public transport yetu na Nairobi unalinganisha au hukuwahi kwenda Nairobi! Mmmmmmhh haya bhana ila kumbuka kwenu kwenu tu.Hizi thread zinanipaga raha sana kusoma.. Kama mbongo nadhani facts ziwe facts.. Nairobi imetuzidi sana kimiundombinu haswa barabara na reli.. Watanzania waliofika ama kuishi Nairobi watakubaliana nami kwa hili. Cha msingi ni kuwa kwa sasa Dar nayo inajitahidi kukechi up ingawa naona kwa kiasi kikubwa ni majengo tu yanapanda lakini barabara na miundombinu mingine kama ya barabara (including public transport.. And yes najua kuhusu BRT), intaneti ya mwendo kasi N.K.vinasua sua sana..
Thank you. Lakini hayo ni mawazo yako tunayaheshimu. Issue ya kujaza server ndio inatakiwa ili wajipange kuongeza storage.Server za JF mnazijaza aisee.....same pictures over and over
Anyways, my contribution here is this
1) Dar es Salaam and Nairobi are both large cities by African standards, with Dar leading in terms of geographical size and population but Nairobi still ahead economically - that is in Gross Metropolitan Product (GMP) terms
2) Dar es Salaam will have crossed the 10 million residents mark by 2030, joining Kinshasa, Cairo, Lagos, Luanda and Johannesburg to be the only African megacities by then
3) Dar es Salaam will lift the most people out of poverty of any other African city.
4) Proper urban planning will be critical for both Nairobi and Dar es Salaam. IDK about Nairobi, but Dar es Salaam needs to move to subways soon and tramways. Urban infrastructure will be critical otherwise this city will become one giant slum!
5) We need to stop focusing much on our cities and more on our rural population, which comprises over 70% of our populations. I hate to say this but Magufuli's government is not pro-poor as he famously claims it to be!