Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama unalazimisha kueleza vitu ambavyo havipo Sawa, hiyo ni kawaida yako kulazimisha vitu.. 🤣🤣🤣

Nimeshakwambiaga ground haibadilishwi kwa uongo, my fool brother.
Kuna siku iliwekwa picha yake humu anamuuguza babaake aisee nilishangaa sn, kalivyo kama wale wanariadha wao au kama wale wakenya wanaoishi kule kaskazini, anaonekana ni mtu wa kutoka familia ya chini sn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…