Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukiambiwa weww ni lipumbavu uelewe. 🤣🤣🤣

BRT ni sisi tu ndio tukonazo hapa EA kama nakuonea haya post hiyo yenu tuliyokopi🤣🤣
SGR hizi na ahadi za CCM since 90s 👇🏾Bagamoyo port was there since 18th century, the idea of developing it was began in 2013 👇🏾ndio useme tumewakopi.? 🤣🤣🤣kuhusu affordable housing sisi tumeanza kufanya hata kabla hamjapata uhuru. 🤣🤣🤣 here is the fact. Ukizitaka nyumba mbia ntazileta 🤣🤣🤣 sasa sisi tunakuwa wakwanza, na hizi plans zipo kwenye vitabu vya CCM tangu nyerere, ukiona tunafanya vitu leo ujue tunatimiza maoni ya Nyerere. Kama si world order ya waume zenu, vitu vyote hivi vingalijengwa tangu Nyerere era.
 

Attachments

  • IMG_6681.jpeg
    231.5 KB · Views: 22
View attachment 3312605
Brt ya ukunyan,wangese mna wivu wa kijinga sana
You can twist the issue all you want but it doesn’t take away the facts that Nairobi was first to propose, study and try to implement BRT system. Dar joined the game after . As I indicated earlier, kudos to you guys, since you have no political challenges za upuzi ( CCM is dictatorship) you moved well with your plans. Nairobi BRT got overwhelmed by Matatu cartels’ attacks since it was a threat to their booming business. Cartels won the day . There is still plans to restart the project with Cartels having a stake in it. We shall see. Now you know. Na hiyo pink drawing ni Kazi tu ya wizi wa Mali ya uma . Facts
 
Oooh kumbe mmewakopesha waganda sio Tanzania ? Nilitegemea utuletea kcb Tanzania kukopesha tz
KCB bank is finacing EACOP. Wewe baki hapo ukipiga kelele, by the way who said it is financing GOT? Do you usually understand written words?
 
GDP gap between Kenya and Tanzania increased to $46B. Kenya back to position 6 in Africa and Tanzania relegated to posiyion 11.

IMF Aprill 2025 update,
Top African Contries GDP Nominal (Above US $ 50B)
1. South Africa 410
2. Egypt 347
3. Algeria 269
4. Nigeria 188
5. Morrocco 166
6. Kenya 132
7. Ethiopia 117
8. Angola 113
9. Cote d'Ivoire 94
10. Ghana 88
11. Tanzania 86
12. D.R.C 79
13. Uganda 64
14. Cameroon 56
15. Tunisia 56


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…