Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani Dar Kuna sehemu haina uswazi?
Tandale, Gongolamboto, Mabibo, Vingunguti, Manzese, Chang'ombe, Keko, Temete, Jangwani, Kigogo, Mburahati, Tandika, Mwananyamala, Magomeni, Buguruni, Yombo n.k haya yote si ni slums tu.

Kosa kubwa walilofanya ndugu zako kukuamini eti methadone utameza mwenyewe,inabidi wakurudishe tu mathare mental ukapate tiba tena
 
You seriously sound primitive… 🪳🧌🦍🦧
Smegma ni mchanganyiko wa mafuta ya mwili, seli za ngozi zilizokufa, na unyevu ambao hukusanyika chini ya ngozi ya juu ya uume (foreskin). Hali hii hujitokeza zaidi kwa wanaume ambao hawajatahiriwa kwa sababu ngozi hiyo ya juu hufunika kichwa cha uume na kuzuia hewa kupita, hivyo kuchangia uchafu kukusanyika.

Inaweza kusababisha nini?

  • Harufu mbaya
  • Muwasho au maumivu
  • Maambukizi kama vile balanitis (uvimbe kwenye kichwa cha uume)

👆 👆 👆 👆 👆 🤮 🤮 🤮 🤮 🤮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…