Battle: Dar es Salaam vs Nairobi



Wengi wenu hata hiyo SGR hamjapanda na akili pia hamna. Yani mtu mwenye akili timamu anasema inachukua saa 1 kutoka Dar Hadi Dodoma? Yani hiyo treni yenu inaenda speed ya 500kph? Tukimwambia masomo yenu ni duni mnasema tunawachukia.🚮🚮
 
Thats why Kenya is considered the most successful sports nation in Africa. No other African nation has won more world titles across different sports than Kenya . I dare anyone to challenge my statement!..🤪
World champion kwenye irrelevant game😭😭
Imagine mnapewa kombe na hakuna hata shabiki uwanjani🚮
 
Hizo data ni za uongo. Luo in Tanzania are less than 1m. Wala hatuwajui

View attachment 3302777

Mara Region in Tanzania had a population of 1,924,230 ambako wanaka luo. Na biggest tribe in mara are Kurya Bantu people.
Napenda vile unaumia. These are some of the Luos in East Africa, let’s combine all the Luos in these countries tuone wako wangapi in total.



Acholi Uganda 2.4M



Alur in Uganda 1.37M


Alur in DRC 1.4M



Padhola 661k



Luos in Tanzania 3.4M


Luos in Kenya 5M



Entire South Sudan is a luo with a Population of 12M

 
Nakwambia hivi hio fed unayosema ilidumaza soka lenu ndio imeleta mapinduzi ya soka unayo yaona Leo.
Hii fed ya Sasa Haijafanya kitu tofauti na kuleta kocha.
Nick Mwendwa killed our league that’s why he was voted out by 90%.
 
Tahira sio kila nilote ni luo
 
Punguza ukasuki mbwa wewe, how Mwendwa killed the already dead league?
Our league was great before Mwenda, we were reaching CAF champions league semi finals every season. Mwendwa came and everything went crumbling. Post Mwendwa Gor thrashed Yanga 4-0 home and away, Simba was also whipped by Gor Mercilessly.
 
Our league was great before Mwenda, we were reaching CAF champions league semi finals every season. Mwendwa came and everything went crumbling. Post Mwendwa Gor thrashed Yanga 4-0 home and away, Simba was also whipped by Gor Mercilessly.
And how the new fed managed to get it back on track for less than six months 😂
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…