Mwalimu wako wa kingereza anafaa akurejeshee karo mje na yeye niwafunze darasani.Don't you ask me silly qns like that again, I have no rooms for this kinda qns, you better set qn that has sense of maturity
Ukwel gani tatizo lenu nyie vijana wa Voi mko na maneno sana...Yaani mtu unaweza argue Nae na akakubali points na mkamaliza poa ni Jay tu...mm walasia shakaHahahaha sasa ni ujinga baada ya wewe kuishiwa hoja na kupewa ukweli.
Wacha maneno weka muziki...si hatuongei sana mtaelewa tuu maninaDaganyikasas hamna ki2 nikufuata wakenya kama senge
Ulipata A u kingereza lakini hauna akili what is the use?Mwalimu wako wa kingereza anafaa akurejeshee karo mje na yeye niwafunze darasani.
Ytuonyeshe uwanja kutoka arushaNot for long!! [emoji1].. Ebu tuonyeshe plans za kujenga uwanja mzuri wa International standard maana so far hamna any! i was shocked nilivyo ona mlikua mnataka kuanda CHAN kwenye viwanja vya Machakos na Kakamega. Tena iko kiwanja cha Machakos ndiyo mme ki upgrade [emoji2] na kina kaa zizi la ng'ombe. Mnatia huruma sana
Nakupa funzo bure unaniita asiye na akili? Wajua kiswahili changu kibofu si waweza pia kuwa Mwalimu wangu?Ulipata A u kingereza lakini hauna akili what is the use?
bradhe kuna stadium mbili za kisasa zinapangwa kujengwa kwa miaka minne...hela zishaachiliwa, land has already been st asideNot for long!! [emoji1].. Ebu tuonyeshe plans za kujenga uwanja mzuri wa International standard maana so far hamna any! i was shocked nilivyo ona mlikua mnataka kuanda CHAN kwenye viwanja vya Machakos na Kakamega. Tena iko kiwanja cha Machakos ndiyo mme ki upgrade [emoji2] na kina kaa zizi la ng'ombe. Mnatia huruma sana
Sababu omba omba wengi wenu wapi KENYA na vijibakuli.Leo kwasababu China anapesa ndiyo unayasema hayo, au kwasababu western countries zimeanza kuipuuza Kenya kwa kupiga marufuku raia wake kutembelea Kenya kutokana na ugaidi?
Kama unajua kwenye biashara hakuna urafiki, kwanini Tanzania ilipokataa kusaini mkataba wa EPA kwa sababu kwetu hauna faida, mlilalamika na kusema Tanzania inataka kuwaangusha kiuchumi?, kila nchi ifanye vile inavyoona inafaa
Nyinyi 2 ombaomba Nairobi.na chokora msa.....mnaeza 2skiza non sasaLeo kwasababu China anapesa ndiyo unayasema hayo, au kwasababu western countries zimeanza kuipuuza Kenya kwa kupiga marufuku raia wake kutembelea Kenya kutokana na ugaidi?
Kama unajua kwenye biashara hakuna urafiki, kwanini Tanzania ilipokataa kusaini mkataba wa EPA kwa sababu kwetu hauna faida, mlilalamika na kusema Tanzania inataka kuwaangusha kiuchumi?, kila nchi ifanye vile inavyoona inafaa
Haha wewe hauna akili kama mwl wako hakuweza kukusaidia mm ndio ntaweza? [emoji23][emoji23]Nakupa funzo bure unaniita asiye na akili? Wajua kiswahili changu kibofu si waweza pia kuwa Mwalimu wangu?
Wambie....hata uwanja wao hauna faida.nikuropokwa 2 hati wana uwaja Kali east Africa....... Iyo tower mbili iliwafirakuna stadium ya rugby nimskia inajengwa....kuna renders mahali?
Haha wewe hauna akili kama mwl wako hakuweza kukusaidia mm ndio ntaweza? [emoji23][emoji23]
Mzae,, hatuko hapa kwa Essay Writing competition... na hatutaki waropokaji.Leo kwasababu China anapesa ndiyo unayasema hayo, au kwasababu western countries zimeanza kuipuuza Kenya kwa kupiga marufuku raia wake kutembelea Kenya kutokana na ugaidi?
Kama unajua kwenye biashara hakuna urafiki, kwanini Tanzania ilipokataa kusaini mkataba wa EPA kwa sababu kwetu hauna faida, mlilalamika na kusema Tanzania inataka kuwaangusha kiuchumi?, kila nchi ifanye vile inavyoona inafaa
Mbona ninyi hadi leo hamjalipia mahindi mliyochukua toka Tanzania mwaka 2014 na tuliwasamehe?
Hivi unajua kwamba mabanda wanayoishi nguruwe wangu ni mazuri kuliko yale mabanda kule Kibera?Sababu omba omba wengi wenu wapi KENYA na vijibakuli.
wana stadium sijui ni ya maridadi? kwa sababu kwa michezo hawajui lolote....ni wavivu sana hawa wabongo...Wambie....hata uwanja wao hauna faida.nikuropokwa 2 hati wana uwaja Kali east Africa....... Iyo tower mbili iliwa****