Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna cha malamishi.

Si tunakusaidia Furaha yako ya kujitengenezea idumu.

Hiyo sticker ya AVA ina Tofauti gani na hiyo sticker ya PSV?
Bro, wacheni unafiki. Kila siku mko humu mkiringa na hiyo HAL ya Arusha ambayo inafanya hiyo hiyo assembly. FAW walipofungua assembly plant hapo Darislum hatukupumzika humu alafu ikija kwetu mnajifanya eti assembly sii lolote. Hizo hizo marcopolo mkianza kuziassemble hapo Vumbistan humu itakuwa 'kama Brazil Mwananguu' Kila siku.
 
Ni wivu ndio inawasumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…