Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuoneshe Internet speed Hapo Hawaii ya Kajiando

 
Ko ni bus 7 versus buses 2000?
Kwa hivyo kulingana na hio akili yako duni hizo basi saba ndio zinabeba nchi nzima. Enyewe hapa hua tunadeal na mafala. My point was just to prove, Kenya hakuna night travel ban. Lakini nimeona vile wewe ni mjinga. 🤣 🤣 🤣
 
Kwa hivyo kulingana na hio akili yako duni hizo basi saba ndio zinabeba nchi nzima. Enyewe hapa hua tunadeal na mafala. My point was just to prove, Kenya hakuna night travel ban. Lakini nimeona vile wewe ni mjinga. 🤣 🤣 🤣
Hakuna proof yoyote bado ni kweli Kunyaland haija normalize night travel sababu huwezi kusema buses 7 ni normal compared to day traffic meanwhile Tanzania night travels are predominant, naislum bado ni kijiji cha medieval kinalala fofofo giza likiingia
 
Wewe ndio uliwekea Kenya night travel ban ama? Si kuna buses za bongoslum zina operate Kenya usiku, au unajifanya hujui. Ebu enda uwaulize kama walipewa license ya ku operate usiku.
 
Upload 3mbps 🤣 🤣 🤣 🤣 Latency 46ms
And so!… let’s see your cell phone screen speed … all I care it states my internet connection is very fast …and am traveling ..so what’s the end game for you here Venus from Mars …
 
Fast kwa standards za the US! ila si fast kwa standards za nchi zenye internet speed superior!
So TZ has a superior internet kuliko US?…ok ! You win … but could you please post your cell phone speed at this moment… let’s figure this out …
 
Typical of Double standard Karens/Kevins
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…