Ksh 🤣 🤣 Joke of the century.Eti hii kitu ni 10m? Pesa ya madafu ama Ksh?
No wonder they live in those uswazi hovelsKsh 🤣 🤣 Joke of the century.
Kundustan inalitia aibu sana bara la africa
Now we understand why real estate sector has failed miserably in dar is a slum.No wonder they live in those uswazi hovels
Hakuna nyumba ya 200M ya hivyo, labda wawe wame consider eneo nyumba ilipo na ukubwa wa kiwanja.Si huwa wanasema housing kwao ni cheap.🤣
Sijapost kuringishia kofia za Comoros, unafahahamu kabisa nilicho maanisha, acha kubrag mazoezi ya kijeshi yanafanyika popote.Bro when it comes to certain issues, you can’t trick me… I have photos of that exercise… helmets zenu bado ni sufuria … so kadanganye wenzako …
View attachment 3248090View attachment 3248091
Wangejua kinachouzwa hapo ni kiwanja. 😂😂😂Hakuna nyumba ya 200M ya hivyo, labda wawe wame consider eneo nyumba ilipo na ukubwa wa kiwanja.
Dah aisee ati kupakia mizigo kutoka melini hadi bandarini? ilipaswa kuandikwa kupakua mizigo na kwenye treni kunapaswa kuwa crane!
Hawa wakiona wazungu wanaanguka kifafa cha muhaho
Sioni kikubwa ikiwa raisi wenu aligeuzwa kuwa tour guide kwa mzungu mmoja.
Aren’t you ashamed that a small poor island nation like Comoros 🇰🇲 has better and modern equipment than your rag tag military?..