Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Foolish pastor! kumbe tunabishana na Pastor huoni aibu?
Foolish retard .. Kumbe nabishana na Bongolala hajui kusoma kiingereza … Ordained Elder is not the same as a Pastor… in America, a pastor has a theology degree … I studied Political Science and International Relations.Any Presbyterian Church member can be ordained as an elder as long as you are active, good standing , take classes and be 18 and older. Now you know
 
Kazi ya ubalozi wetu kuchangamkia fursa hii.

Mh. Bashe najua yuko vizuri sana. Achangamkie hii maneno.

Maisha ya sasa hakuna kuoneana huruma kwenye fursa. Tena kwa hawa nyang'au ni kuwalenga kwenye roho kabisa.
Mlivyo bongolala mbna hamkuchangamkia hizo fursa hapo awali? Ama ndo mmegutuka? Ficheni upumbavu wenu mbele ya watu angalau
 
Utakuwa mjinga hivi hadi lini? Differentiate between capacity and actual handling. Capacity ya JNIA is 8M but only handles 1.5M in a year, Capacity ya JKIA is 6M but handles more than 8M in a year. That’s the same way capacity ya Kisumu is 500,000 but it handles 800,000 passengers in a year. For your information, the capacity of Kisumu airport was upgraded to 1M from the 500,000 before. Actually Kisumu airport handled 538,000 passengers in 2022.



Then did 800k passengers in 2024, it will take Kilimanjaro years to get to that level.

 
List ndefu kweli, haya sasa tuoneshe na picha za hizo viwanja
 
Sasa mi nijue inanihusu nn? BTW Nilifikiri wewe ni Yule pastor gay aliolewa! Maana u sound like s1 ready to anything to just remain in the US!
 
This news to me… Has the United States Air Force taken over Kenya Air Force training program?…. Ati Kenya iko na JTAC now?… This only for advanced military capabilities…. Am curious now … Kenya must have acquired armored drones from the US or advanced fighter jets are upcoming…. JTAC is not for everyone…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…