The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Mbona kama umeumia hivii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣So finally mmekubali kuwa Dar ni slum iliyo na a few developed areas! Hongera sana!!
View attachment 3240718
Kenya kila unapoona kuna ka estate ya vijumba viwili vitatu ujue pembeni kuna bonge la slum.
70% ya nyumba za mombasa ni za udongo don't forget that.Hawa watu wanakuwanga wanafiki sana. Hizo nyumba za Mombasa ndio 90% ya Dar inakaa, yet hawaonyeshi hiyo Dar but mtu akipost picha ya Mombasa wanakuja nazo. 😂 😂
Inafikirisha namna wanavyo ogopa nchi ya Tanzania. 😂😂😂
View: https://x.com/rodgers_adai/status/1891854988554518649?s=46
Nilikuwa nashangaa hawa wanuka nuka wakisema eti wanatuzidi km of tarmac roads, jamaa kaweka wazi kwamba tumewaacha mbali sn.Inafikirisha namna wanavyo ogopa nchi ya Tanzania. 😂😂😂
View: https://x.com/rodgers_adai/status/1891854988554518649?s=46
Hizi propaganda za Kagame zinaweza mtokea puani akajuta.
How many km of tarmacked roads r there in Kenya? Rodgers Adai anasema only 9000 km!Inafikirisha namna wanavyo ogopa nchi ya Tanzania. 😂😂😂
View: https://x.com/rodgers_adai/status/1891854988554518649?s=46
hali ni mbaya huyu atakwamisha mradi wa SGR kwenda Kindu! Saahii tayari kashachukua North and South Kivu!Hizi propaganda za Kagame zinaweza mtokea puani akajuta.
Kule mwisho waweke bendera kubwa ya TZ Nyang'au hakawii kujipa umhimu.Tupate wadhamini kidogo
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1A98GSKY4K/
Inafikirisha namna wanavyo ogopa nchi ya Tanzania. 😂😂😂
View: https://x.com/rodgers_adai/status/1891854988554518649?s=46
Nishasema Kongo wenyewe ndio wanaofelisha ilitakiwa muda huu kuwe na executive order ya Makampuni yote ya madini kustop shughuli hadi waasi waishe, na ilitakiwa order ya kufunga mipaka kijeshi.hali ni mbaya huyu atakwamisha mradi wa SGR kwenda Kindu! Saahii tayari kashachukua North and South Kivu!
Kinachofurahisha uwakute kunyan wenyewe wanavyosifia slums zao 😂Kenya kila unapoona kuna ka estate ya vijumba viwili vitatu ujue pembeni kuna bonge la slum.
ila hayati magu katupa heshima na kiburi ndani ya africa hii, yani hata hili group tumepata jeuri na kiburi ya kubishana na hawa because of him 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻