Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tanzania ndio home yao africa ndio maana wanahistoria kubwa na tanzania kuliko nchi yoyote africa ila leo nashangaa nchi ya kibepari sasa imekua colony la china 😂😂😂😂😂
 
tanzania ndio home yao africa ndio maana wanahistoria kubwa na tanzania kuliko nchi yoyote africa ila leo nashangaa nchi ya kibepari sasa imekua colony la china 😂😂😂😂😂
Wachina wanafanya biashara za pesa kubwa Kenya kama vile wanafanya in any other developed country, lakini bongoslum wanashindana na machinga. Huoni aibu na wenzako Kariakoo wanalia kila siku. 🤣 🤣 🤣
 
tanzania ndio home yao africa ndio maana wanahistoria kubwa na tanzania kuliko nchi yoyote africa ila leo nashangaa nchi ya kibepari sasa imekua colony la china 😂😂😂😂😂
🤣 🤣 🤣 Bongoslum hali ni mbaya, wachina wanatake over biashara kama zote huko Kariakoo. Kenya wanawekeza pesa kubwa lakini bongoslum wanafanya hawking na kuuza maduka ya mitaa.


View: https://x.com/TanzaniaLeaks/status/1805783469726798029
 
Hawa nyangsu wanatuaibisha sana Micky amekuwa very diplomatic ila mimi simungunyi maneno I call a spade a spade.
 
Propaganda, hapo kariakoo wachina waliopo hawafiki hata hata 0.0000001%. Kwenye kila aina ya biashara iliyopo. Let me tell you something 90% of the bussines owners in Kariakoo them black Tanzanians.
 
Propaganda, hapo kariakoo wachina waliopo hawafiki hata hata 0.0000001%. Kwenye kila aina ya biashara iliyopo. Let me tell you something 90% of the bussines owners in Kariakoo them black Tanzanians.
Fact is, wanafanya biashara ndogo ndogo amabzo zinapaswa kufanywa na locals.
 
Wewe watchman Mombasa inakukosesha usingizi!

Then we have Mbeya "city"🤣🤣🤣
 
am not celebrating nawaona wajinga nyinyi nchi haina sheria mpaka kwa wanyama, upuuzi gani huu mtu anafanya
Which law are you referring to in this case of an accident. Ama huko kwenu Yemen accidents hazifanyiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…