Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe unasoma comments zangu 🀣 🀣 🀣 🀣

Mlikandwa 5G
View attachment 3186434
Mulianza na kiherehere kumbe kutangulia sio kufika, si pia nyinyi mumenyonya kama kawaida yenu. 🀣 🀣 🀣 The only country in East Africa that has never won a single game at AFCON. 🀣🀣🀣
 
Mulianza na kiherehere kumbe kutangulia sio kufika, si pia nyinyi mumenyonya kama kawaida yenu. 🀣 🀣 🀣 The only country in East Africa that has never won a single game at AFCON. 🀣🀣🀣
Tulia mzee unajiaibisha only Tanzania and Uganda Qualified to U17 Afcon 2025. Nyie mlibondwa 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Tulia mzee unajiaibisha only Tanzania and Uganda Qualified to U17 Afcon 2025. Nyie mlibondwa 🀣 🀣 🀣 🀣
That doesn't change the fact that Taifa Stars has never won a single match at AFCON despite qualifying multiple times. 🀣 🀣 🀣
 
Mpunguze kiherehere 🀣 🀣 🀣


View: https://www.instagram.com/p/DEFcpYYIn4J/
Uganda, like west African countries, fielded a good number of overage players. Ndio maana wapo wapo tu kama Wakenya na ukora wa udanganyifu kwenye kila jambo la maendeleo.

Huyu namba 12 Ni under 17 ya wapi?

Jezi number 10 ni under 17 sio namba 9 wala namba 20.

 
Wakomboe Ferrari na wanalipa msaani wenu pesa zaidi ya mara tatu ya hio Ferrari. Wewe una kichaa ju nikama hujui tycoons wa Mombasa wako hadi bongoslum. 🀣 🀣 🀣 Hapo hakuna gari za kukombolewa wewe fala, usiwe mjinga.
do u think ni kweli hizo ni tension zenu wenyewe wajinga nyie eti kalipwa 1m usd nawewe unaamini kweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

yani munalazimisha mpaka gari amabayo sio yenu eti iwe yenu yote muonekane, si mungetoa hio plate number ya tanzania sasa kama munajiamini kondoo nyinyi
 
Investments za Kenya to Tanzania zina range between 1m to 5m dollars. Thats why you find more that 2k Kenyan businesses have invested around 500m dollars while only 2 or 3 Tanzanians have invested more than what 2k Kenyans businesses have invested in Tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…