Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Cheapest in the sense that meli inabeba containers nyingi at a go hence cost effectiveness yake inakuwa juu.
Kwa kimeli chetu kile, hata mabehewa 50 hakibebi, huku SGR ikiwa na uwezo wa kuvuta mabehewa zaidi ya 100, ikitumia masaa 4 tuu kufika Port Bell. Kwa masaa 24 ya meli, treni inaweza kupeleka mzigo huo huo mara nne.

Naelewa gharama za awali za kujenga miundombinu ya reli ni kubwa, ila naangalia ufanisi kwa miaka 30 mbele.
 
 

Attachments

  • IMG_20241127_015532.jpg
    549.4 KB · Views: 28
Mbona barabara iko substandard? Wamekosa ruler kunyoosha lane markings? Na where is a third lane for overtaking?

So unafananisha hiyo na hii? Yenye mpaka drainage?
It's not the third lane for overtaking, it is a climbing lane and it's placed on steep hills on roads that have lots of heavy traffic. The Mbita Island road obviously doesn't have lots of heavy traffic. Na Kuna wakati ulisema wewe ni Civil Engineer.🤣🤣
 
Haya, 11 blocks zitatoshea wapi hapo.
Nyamaza ushashindwa, Kati yako na engineer that designed the buildings with that parcel of land in mind nani mwerevu kuliko mwenzake? Foolish idiot.
 
Mzee anasema ati you need a third lane to overtake, I was left wondering if I was arguing with Geza Ulole ama watchman aka The best 007 and baboon aka sama boy 255😂😂😂.

I later came to realize Kumbe watanzania wengi hapa JF wana tu midomo na hawajaiendesha anything kwa barabara.

On the issue of you believing what Geza Ulole said, these people say anything to look competitive. Ebu try to imagine that was a civil engineer arguing like a toddler, there is a time he also said he deals with IT stuff yet can’t differentiate a moving image and still image😂😂.

Hawa wote ni waongo and we keep on exposing them, mwingine huwa ansema yeye anafanya almost anything available in this earth, any profession yeye anasema anajua lakini ukimuliza kitu simple anashindwa. There was a time Yule shoga aka Venus Star alikuwa anatupigia kelele hapa na Mathematics and when a discussion came to calculate the number of vehicles in Kenya with Plates starting with KDA to KDQ alishindwa😂😂.

Mwingine pia alijaribu kutudanganya yeye ni Pilot Kumbe ni tu watchman kwa godown ya mizigo. Since I exposed him jamaa siku hizi ananiogopa na kunichukia mbaya😂😂
 
Nani huyo alisema yeye ni pilot tucheke?🤣🤣

Alafu usisahau yule wa kutumiwa picha from abroad ndio adanganye ametembea alafu anasema Moshi ni border town na anatuma picha ya Illasit, Kenya akisema ni Moshi.🤣🤣🤣
 
Nani huyo alisema yeye ni pilot tucheke?🤣🤣

Alafu usisahau yule wa kutumiwa picha from abroad ndio adanganye ametembea alafu anasema Moshi ni border town na anatuma picha ya Illasit, Kenya akisema ni Moshi.🤣🤣🤣
Watchman aka The best 007 alisema yeye ni pilot😂😂😂.

Alafu nimepata wanapenda kuomba picha sana😂😂, huyo jamaa alinibamba ati Moshi ni border, utapata jamaa hata haijaitoka mkoa alipo Tangu azaliwe. Alafu unakumbuke Yule alikuwa anatudanganya ati anatengeneza Ksh 250k kwa siku? I asked for proof from his bank account akashindwa kutuonyesha when I asked for the picture jamaa aliweka picha yenye ametumiwa WhatsApp. Vile nilimshika hajainireply hadi wa leo, I think aliaibika😂😂😂.

Sama boy 255 pia alidownload msosi kwa internet after nimemchongoa ni hile rice low quality alipost kuturingia nayo😂😂
 
Alafu usisahau yule wa kutumiwa picha from abroad ndio adanganye ametembea alafu anasema Moshi ni border town na anatuma picha ya Illasit, Kenya akisema ni Moshi.🤣🤣🤣
Tangu ushike huyu jamaa ashairudi kucomment tena? Hata hile picha yake ya mwenye anakula watermelon nimekawia sana😂😂. Ama ulimaliza morale zake zote za kupost?😂😂
 
Huyo watchman anajiita pilot na hajawai toka Tandale?🤣 Pilot mgani hajawai toka Tandale?🤣🤣
 
what does that third lane allows other vehicles to do? BTW it has not to do with steep hills that third lane can be there also on a flat terrain!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…