Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unapost watoto wa wenyewe 😂😂😂
Hata Mimi naona nimechukua watoto wa wenyewe nikawaweka kwa health insurance cover as my beneficiaries 👇👇👇

First name is me, second name is my daughter (you can see we share the "OBW" name) and the last name is my wife.




Some of the cover for my daughter
 
Habari nnazopenda kusikia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mzee wa virtual money 😀 😀 😀 unatamani sana kuwa na pesa.
 
Huyo jamaa ni desperate sana. Tawfiq hata mimi niliziona miaka hizo za 90s. Alafu kulikuwa na nyingine inaitwa Takreem. Ni kama zilikuwa zinamilikiwa na kampuni moja
Acha kujificha kwenye kivuli cha ufito

Eldoret Express tuoneshe tucheke 😀 😀 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…