Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unasemaaa?? Labda sijaelewa vizuri.. Fafanua persona non grata ili twende sawa
 

University of Nairobi Towers.

The building will hold a student population of 3,500 and is 89M high.
 
Mnababika sana na ranking ,
what really matters is your professional and not otherwise,there is alot of students wanaenda chuo kikuu kwasababu kina jina kusoma vitu vya ajabu mwishowe unakua umepoteza muda bure, toeni ushauri vitu vyenye deal watu wakasome wapi...itakufa mtu yuko kwenye chuo kizuri lakini ukiuliza anasoma nn anaogopa ata kusema
 


according to you we should just wow at buildings .......mmh.The world is like a double loop where competition and ranking will dictate forever whether we like it or not.....that's why even tiny colleges in Europe rank above our best varsities and there's nothing we can do about it but try and do better
 
Yani mji Wa Chuo cha UDOM ni County nzm ya NAIROBI.. Maana ukitoka majengo ya faculty moja mpaka nyingine lazm upande Daladala mule ndani[emoji23][emoji23]


there has to be a limit to insanity..pliz.Na usitaje the UoN kando ya academic dwarfs like Udom
 
there has to be a limit to insanity..pliz.Na usitaje the UoN kando ya academic dwarfs like Udom
Mi sitaki nikusemee.. Ingia Google Jionee mwenyewe.. Chuo kina hospital kubwa na ya kisasa kuliko iyo ya Nairobi[emoji23][emoji23]
 
Mi sitaki nikusemee.. Ingia Google Jionee mwenyewe.. Chuo kina hospital kubwa na ya kisasa kuliko iyo ya Nairobi[emoji23][emoji23]



ingia Google pia webomatrics utuletee majibu........The UoN has a 26 storey admin block......tuanze na hapo.....
 
KU has this too
what's the big deal...


Moi University has the Moi teaching and referral hospital
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…