President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,608
- 94,198
Tuondolea Vyuma chakavu hapa. Sisi tunanunua Aluminium-Carbon Fibre Metal Matrix Board Sasa Unatuletea vyuma vizito, vitaharibu barabara zetu.Yani hadi unaona official FB page ya MAN East Africa lakini bado manpinga tu😂😂🤣😂.
MAN
View attachment 3091387
Najua hata hii pia utasema sio Scania😂😂🤣👇👇
View attachment 3091389
Acha kuongopa.Nimemwamini kukuliko😂😂🤣😂.
It has been a year and yet bado umeshindwa to prove your point and disapprove mine. Empty talker😂😂🤣
Umeongea kwa hasira na uchungu sana.We’ve had and we still have bus body builders/ Fabricators here in TZ for Generations , we’ve been using those ugly things for years. Sasa tushatoka huko . Dunia imesonga mbele. Technoljia imesogea sana. Wapo watu duniani wana high tech ya kuzalisha products safi sana na finishing kali sana na muhimu zaidi safety features ziko neat . Hatuwezi kuishi mwaka 1950s kusafiri na canter na isuzu trucks kama Ng’ombe ikiwa pesa ipo.
Hizo ugly things ndio zinapelekea hatulali siku bila road accident hapo Kenya ,
Wewe ni shahidi kumekuwa na ajali nyingi sana kenya lately na local fabricators with their poor masufuria ni watuhumiwa namba moja.
Kwa namna Tanzania ilivyo kubwa, toka Dar to Mwanza, to Bukoba to Mbeya within 24 hours that your poor unreliable nganya won’t endure .
A reason we chose the most reliable buses mostly that all of them comes at 0kms .
You are an empty talker😂😂🤣😂.Acha kuongopa.
Imepita miezi kadhaa tu sio mwaka.
Tulia treni ikianza kutembea utajua kama I am an empty talker ama laah.
Alafu watanzania pozi zao ni tofauti kabisa na waafrika wengine, ukimuangalia mtanzania katika pozi la SGR unaweza kusema kama ni mjerumani mweusi, au mwingereza mweusi au mmarekani mweusi flani hivii, na hiyo SGR yetu jinsi ilivyo kiulaya ulaya kama wakiwepo wazungu 10 tu baasiii utasema ni Europe kabisaaa, asante Magufuli 🙏🙏🙏
Uko na akili za kibaboon, tofauti Kati yako na Sama boy 255 aka baboon ni nini?😂😂🤣Alafu watanzania pozi zao ni tofauti kabisa na waafrika wengine, ukimuangalia mtanzania katika pozi la SGR unaweza kusema kama ni mjerumani mweusi, au mwingereza mweusi au mmarekani mweusi flani hivii, na hiyo SGR yetu jinsi ilivyo kiulaya ulaya kama wakiwepo wazungu 10 tu baasiii utasema ni Europe kabisaaa, asante Magufuli 🙏🙏🙏
It will take you 100 years kufikia hii levelUmeongea kwa hasira na uchungu sana.
1. Umesema you have bus body builders in Tanzania. Where are they now? Last time I checked their warehouses were being auctioned and sold.
2. Umesema dunia inasonga mbele, mbona na Nyinyi msisonge mbele?
3. Kenyan buses are more beautiful than Chinese boxes that you import daily.
4. Umesema Kenya kuna accidents, Tanzania ndio bingwa wa ajali hadi bus owners are dying daily in Tanzania like flies because of accidents.
6. Kenyan buses are leaving Mombasa to Kampala within a day.
7. Kenyan buses are zero mileage unlike those refurbished Chinese boxes that you down there.
The good thing three out of five buses in this Katarama fleet are from Kenya🤣🤣😂
Yameenda kule yaliponyimwa bomba la mafuta, unajua hii vita tunaichukulia poa lkn kwa wakenya ni vita ya kitaifa, mkenya inferiority complex over Tanzania inamfanya bora aende hata Tunisia kuliko kuja kucheza Tanzania, sisi hapa watanzania ni sisi wa humu jamiiforums tu ndiyo tunaongelea Kenya na wachache wa mitandaoni lkn the rest Tanzanians wala hawana habari na Kenya. Hata viongozi wetu hawana ugomvi na kanchi chochote cha EA na ndiyo maana huwa wanatoa deals kibao kuwapa raia au serikali ya hivi vinchi, ila wao sasa wanaogopa kuwa overtaken wakati tulishawa overtake kitambo.Kwani kundurenda wamechagua uwanja gani wa nyumbani maake hawana uwanja unaokidhi vigezo
Ndio watchman. Wakati Kenyans are googling about USA nyinyi mnagoogle about Kenya😂😂Yameenda kule yaliponyimwa bomba la mafuta, unajua hii vita tunaichukulia poa lkn kwa wakenya ni vita ya kitaifa, mkenya inferiority complex over Tanzania inamfanya bora aende hata Tunisia kuliko kuja kucheza Tanzania, sisi hapa watanzania ni sisi wa humu jamiiforums tu ndiyo tunaongelea Kenya na wachache wa mitandaoni lkn the rest Tanzanians wala hawana habari na Kenya. Hata viongozi wetu hawana ugomvi na kanchi chochote cha EA na ndiyo maana huwa wanatoa deals kibao kuwapa raia au serikali ya hivi vinchi, ila wao sasa wanaogopa kuwa overtaken wakati tulishawa overtake kitambo.
Weka video, mbn sisi tunaweka. Unaogopa nn ss mnuka mavi 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Kenya SGR trains = 200km/h max speed
Tanzanian SGR locomotives = 180km/h max speed
Tanzanian EMU =160km/h max speed
Nafurahi umeumia, hiyo ndiyo furaha yangu 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Uko na akili za kibaboon, tofauti Kati yako na Sama boy 255 aka baboon ni nini?😂😂🤣
Facts are facts and you can’t dispute them.Weka video, mbn sisi tunaweka. Unaogopa nn ss mnuka mavi 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Hahahaaaa bado dozi inakuja, mpaka mlie kudadadeki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ndio watchman. Wakati Kenyans are googling about USA nyinyi mnagoogle about Kenya😂😂
View attachment 3091403
As long as your comment ease your pains, who am I to object?The good thing three out of five buses in this Katarama fleet are from Kenya🤣🤣😂
It’s the truth and that’s why huezipinga😂😂🤣As long as your comment ease your pains, who am I to object?
Jifunze kwanza kujisafisha baada ya kunya.It’s the truth and that’s why huezipinga😂😂🤣