Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,199
- 107,799
habari taken straight from your delusions. Mtanzania hajui kizungu utamjua tu na heavy danganyikan swahili accent anywhere in the world 🤣🤣You must dumb! Waburundi, Warwanda, Wacongo, Wakenya na baadhi ya Waganda wanaishi na kujitambulisha kama Watanzania.
Ikulu yenu Mbona ni ya mkoloni?Sasa unabrag na hoteli ya Mkoloni.😂😂😂
Ni kati ya majina ya Ruto. Lakini google inasema ni jina mojawapo la watoto wa kiume wa kabila la wakalenjin.😎Kaka hujanijibu neno "kipchirchir" umelitolea wapi!?
Umeona tukibrag nayo?Ikulu yenu Mbona ni ya mkoloni?
Nyie mlikuwa wapi huo mwaka? 🤣 🤣 🤣Unafiki wa Mkundustan NairobiWalker unajulikana kisa Ukunyani walikuwa maporini huko mwaka 1894!
Samia hajawahi fanya kampeni ya kidiplomasia akashindwa 🇹🇿🇹🇿🔥🔥👇👇Tanzania significance effortlessly
View: https://x.com/rutaraka/status/1828495425558430140?t=4HN9eSipI0MqFBi3EoddBQ&s=19
Mark my words. Raila hashindi hiki kitiWalalahoi wa Jamii Forums wakipiga makelele eti ooh Raila hawezi pata, Rais wao ambaye ana ushawishi anamuunga mkono Raila.
View: https://twitter.com/SuluhuSamia/status/1828431960085062075
Kwa kuwa Tanzania imewaunga mkono basi Odinga atashindwa maana sisi tuna kura ya veto hapa Africa 👇👇
View: https://twitter.com/SuluhuSamia/status/1828431960085062075?t=4nt15yAmRiM7sK2tq9MK5Q&s=19
Tanzania significance effortlessly
View: https://x.com/rutaraka/status/1828495425558430140?t=4HN9eSipI0MqFBi3EoddBQ&s=19
Samia hajawahi fanya kampeni akashindwa.🇹🇿🇹🇿🔥🔥
Ummy alixunguka Nchi kibao Kupeleka ujumbe wa Rais na matokeo yake ndio haya Sasa 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C_Lz0F5tPCe/?igsh=MWVjbGZsd2g2YnJ1bg==