Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The fact you are still asking that question creates a big doubt on your claim to political education background, unless your degrees are fake…If still can’t tell the difference and meaning of a state visit vs. Official visit to the United States after all this time, means something amiss in your education resume..
 
Bro, you still argue with this Venus id10t? Wueh, read my signature.
 
Since 1970 bado mnajikongoja. Air Tanzania Started 2018 imenunua Ndege 16 🀣 🀣 🀣 🀣
Air Tanzania na Kenya Aiways zote zilianzishwa 1977 after kuanguka kwa EAA. Nyie yenu imekuwa ikianguka serikali inaamsha. Hadi kuna wakati airline yenu ilikuwa inamilikiwa na South African Airlines. Na soon tena itaanguka muiamshe vipya.
 
Typical response from a honorary graduate of Tandale University of Politicsβ€¦πŸ€£πŸ€£
 
Umehama tena kutoka IR umekuja kwenye Political Science?
Nimekuuliza What is so special for you for Mr. Ruto to visit USA tofauti na viongozi wengine wa Africa? 🀣 🀣 🀣
 
Air Tanzania na Kenya Aiways zote zilianzishwa 1977 after kuanguka kwa EAA. Nyie yenu imekuwa ikianguka serikali inaamsha. Hadi kuna wakati airline yenu ilikuwa inamilikiwa na South African Airlines. Na soon tena itaanguka muiamshe vipya.
Mliziiba ndege zote za EAA maana zilikuwa huko huko kenya. So Tangu muibe ndege zetu kuna jambo lolote mmefanya. Kumbuka 1978 Tanzania and Uganda ziliingia vita. 🀣 🀣 🀣 More than 40 year bado Kenya inayumba
 
Air Tanzania na Kenya Aiways zote zilianzishwa 1977 after kuanguka kwa EAA. Nyie yenu imekuwa ikianguka serikali inaamsha. Hadi kuna wakati airline yenu ilikuwa inamilikiwa na South African Airlines. Na soon tena itaanguka muiamshe vipya.
Air Tanzania imefufuliwa 2018 na SASA inandege 16 owned by gvt of Tanzania 100%

Na hiii iko njian inakuja πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Dreamliner

 
Hakuna kitu umesoma hapo hata moja. Post your papers to prove me wrong. Wewe ukijaribu sana maybe umefika computer packages pekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…