Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe mbuzi katoliki Huwezi linganisha mziki wa Tanzania na Katitu.

Mziki wa Tanzania unajulikana kote duniani.
Hapa tunaongelea old school songs, not those simping songs Tanzanians are currently singing.

Watanzania wameanza kuomba juzi, kitambo hamkuwa mnajulikana juu hata recording studios hamkuwa nazo. Mr. Nice used to come to Nairobi to release his songs,
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Usilete mambo ya Old Schools 🏫.
Acha kuongea mavi mavi now tuko 2024 waleta mambo ya 2000 na 2002 uko
 
Kwani nani alianza topic ya old School? Is it not your fellow Tanzanian?
 
Shamba boy 😂😂 unajua nini kuhusu music wewe.? Watanzania wameanza juzi??
 
Mwenzako alikuwa anataka old school. Sasa sijui ulisema sisi unamaanisha wewe na nani?

Swing swing by Kleptomaniax. The only person still active in this group is Nyashinski

View: https://youtu.be/lv7Srget0Yo?si=bqRg5M3Kni1gzliT
Zamani Kenyans mlikuwa poa sanaaaa kwenye Music, sikatai Ngeli ya Ya Genge ya Jua kali was my favorite song ever toka Kenya, shida sijui mli felia wapi.

Now mko juu ya mawe hamuwezi haya rudisha ile test ya music ya zamani.
 
Kenyan music failed when Ghetto youths started singing in Sheng', they lost the audience and they also lost the art. Music is all about passing message, not everybody in Kenya and East Africa understands Sheng'. Hivo ndio mziki wa Kenya ilifail.

This was music with real message.

View: https://youtu.be/MLSCu18mNx8?si=b3lnY0S0ws3d8kpF
 
Kenyan music failed when Ghetto youths started singing in Sheng', they lost the audience and they also lost the art. Music is all about passing message, not everybody in Kenya and East Africa understands Sheng'. Hivo ndio mziki wa Kenya ilifail.
Okay mpambane, i wish kenyans mngekuwa poa sanaa kimziki mpaka sasa maana kungekuwa na battle kali sana 255 na 254 kwenye industry. But now tupo sisi tui AFRIKA mashariki na kati hatuna mbabe 😂
 
Shida yenu Watanzania huwa mnajaribu kuforce watu wa nchi zingine wawe na chuki dhidi ya Kenya jinsi mlivyo nayo. Najua huwa inawauma sana mkiona Kenya ikipnyeshwa upendo na Dunia nzima mitamdaoni.😂😂😂
Kunyan nyie wenyewe ampendani,ukabila umewaaribu akili,even ajali ya cdf wenu kuna kunyan wanaichukulia ni chuki zenu za kikabila
 
Okay mpambane, i wish kenyans mngekuwa poa sanaa kimziki mpaka sasa maana kungekuwa na battle kali sana 255 na 254 kwenye industry. But now tupo sisi tui AFRIKA mashariki na kati hatuna mbabe 😂
Hebu Msikilize huyu jamaa alaf utajua kwann hawa watu wamefeli kwenye kila kitu 🤣🤣👇
Your browser is not able to display this video.
 
Hawa wajinga wanataka kumiliki ziwa zima!?
Kwa munajili upi?
 
Okay mpambane, i wish kenyans mngekuwa poa sanaa kimziki mpaka sasa maana kungekuwa na battle kali sana 255 na 254 kwenye industry. But now tupo sisi tui AFRIKA mashariki na kati hatuna mbabe 😂
I'm an old school guy, I rarely listen to these current songs that have no messages. I can't even remember the last time I listened to Tanzanian songs except for one old school Bongo song that I have in my phone.

Here is my recent playlist, you can see it's full of old songs.

The only Tanzanian songs in my phone is the Old school one.

Great man....old is Gold

Salimia OGOPA VIDEOS

IIibamba sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…