Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Miaka Hii Hilo sio jambo Lakuzungumzia
Sijui kama Kuna mji /Makao makuu ya mkoa Wowote Tanzania Hakuna
Na akama Ipo Haizidi 5
Kuanzia
Dar
Mwanza
Arusha
Tanga
Dododoma
Mbeya
Morogoro
Kahama
Tabora
Kigoma
mpaka Bukoba
Vitu vidogo vidogo hivi Kwa Sasa Tanzania imesahau.
Saizi Kila Mji una traffic Lights kuanzia Singida,Kigoma, Sumbawanga Hadi Bukoba.

Hii hapa ni Kigoma πŸ”₯πŸ”₯

View: https://youtu.be/ZczapO-gNHU?feature=shared
 
Katika nchi 7 tulizopakana nazo hamna nchi ya kipuuzi na wivu kama kundustan
 
Usijidanganye bro.
Mataifa ya OIC ndiyo mataifa pekee duniani sasahv yenye misaada ya kifedha pasi na kuathirika sovereignty ya nchi husika.
Hao wazungu mnaowakimbilia wanawasainisha mikataba ya mashoga sasa hv.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…