Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha bla blah tell me what makes a bus luxury an a vip?
So you don't know? 😂😂😂 There are so many things but cha muhimu ni kuwa undisturbed by the neighbor, oncoming lights, sound of the engine and most importantly leg room. Kumbe unapayuka tu hapa na hujui hata meaning of VIP in a bus😂😂😂. Hizo vitu zenye zimebaki kama coffee are just show off. Passengers wanaezabeba zao, but for legroom hawaezitoka nayo kwao.
 
sawa hii ilishawekwa kwani kampuni ni hizi 3 kenya nzima? why ni hizi hizi kila mda haya leta mwingine na gari kumi hii tumeichoka
Watu humu awajamjua huyo fala Teargass ,alipotea humu kitambo kwa ajili akusanye ujinga wake huu mabasi,toka arudi hoja zake ni mabasi tu hata kunyan wenzake awamsapoti ila yy kakomaa na mabus
 
Bro tatizo unaongea sana! Alafu huna exposure kabisa! Kwa hiyo modern coast na mash poa waki offer nuts, maji na soda wanafanya kwa ajili ya show off au unasema aje?
 
Ebu tuonyeshe financial statement 😂😂🤣😂. Show us revenue against the expenditure. If you are a man enough with big ball I dare you to do it😂😂😂😂
He will definitely switch the goalposts akuulize story za mafuriko na kibera…🤣🤣🤣😄🤣🤣
 
Bro tatizo unaongea sana! Alafu huna exposure kabisa! Kwa hiyo modern coast na mash poa waki offer nuts, maji na soda wanafanya kwa ajili ya show off au unasema aje?
Wewe ndio huna exposure. Who on this earth thinks that ukipewa coffee then that's VIP? Only a fool like you😂😂😂
 
Ukabila utawaua, hii tabia yenu ya kubaguana itamaliza vizazi vyenu na hamtopata suluhu kamwe, mm nawaombea muendelee hivyo ili muuwane mpungue mana mtatupa shida kuwalisha wazembe nyie.
If you love your country so much .. why don’t you use your hero Mangufool’s avatar?… but you admire Obama so much… mjaluo Mkenya by blood…. You look ridiculous…🤣🤣🤣🤣🤣
 
Aisee naomba uweke fleet mzee achana na huu upuuzi wa kabasi kamoja kamoja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unless hujui kuhesabu Bus car nimeweka already four buses and still counting. Napenda kuweka bus Moja Moja ndio inafanya nichambue vizuri😂

But since umecomplain, let do it Moja Moja in one post.

Still Buscar, look at the beauty of these beasts😍😍

Martinez


Garnacho


Saliba


Trossard


Vlencovic


Hizi ni tu Emirata series, usipotesheka naezaeka Sultan series as well.
 

Attachments

  • 1700849749883.jpg
    98.2 KB · Views: 26
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…