Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndo maana mkazipaka rangi ya ukuta? With corruption that Kenya is known of, hakuna refurbishment ilifanyika!
So now you work for investigative journalism?… Geza mbona unapenda kujiweka Jack of all trades lakini master of nothing…..🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
I think Twiga foods will make this project a success… that’s what I was advocating since the beginning…. Give Galana Kulalu to the private sector…. They are motivated by profits and therefore they will scale it to higher heights…. But having a government bureaucracy running such a project is prone to politics…… Kenya private sector knows how to deliver…we are in the right direction…
 
Hio ni first phase kuna 2 na 3. Alafu mbona hakuna lami mbezi🤔
Kumbe you noticed that one too? Yani hiyo picha yote lami ni moja. Barabara zilizobaki zote ni vumbi. Halafu utasikia wakipiga kelele hapa eti sijui vumbi sijui tope. Nyani haoni kundule. And mind you, Mbezi is one of the richest neighborhoods in Dar 😆😆😆
 
Leo tumeshika mende!!! 🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani niulize, kweli serikali ya Dar ama wasimamizi wa manispaa Dar wanafanya nini!? Kama Mbezi hakuna lami!? Unbelievable, kama Mbezi hakuna lami, ni wapi itakuwa sasa!?
Nonsense! DAR ES SALAAM IS AN OLD FISHING VILLAGE. Yaani ona, ni kama Garissa
 
Let me go Google and see what Masaki has offer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…