Hawa watu ni bure kabisa
View: https://twitter.com/Ma3Route/status/1314887187801018368Aloooooooooooooooooooooooooooh!!!!!!!!! ebu kwanza ncheke😛 😱 😉😉😉
Mbona mnawapiga hawa nyangau na nyundo nzito hawa level yao wanapaswa kujitahidi kushindana na Mawasiliano, mwenge, segerea, kinyerezi, temeke bus terminals.
Hamuwezi mtatuaibisha Bora muweke nguvu 2027Remember CHAN is coming to Kenya
View attachment 2779049
Wanaamini lugha ya mkoloni inaongezea hadhi vitu vyao 🤣🤣🤣halafu ni wabunifu wa majina "Greenpark" terminal! Greenfield, Terminus etc. wachaaa maneno kabsaa!
😂 😂Wanaamini lugha ya mkoloni inaongezea hadhi vitu vyao 🤣🤣🤣
mbingu na ardhiCompare and contrast.
SGR Kenya.
View attachment 2779117
Vs SGR Tanzania 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 2779119