Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna msenge mmoja eti anajiliwaza kwamba timu yao ya taifa imezidi timu ya Tanzania kwa fifa rankings, huu ni ujinga kabisa kujaribu ku compare Tz na Kenya kwenye soka, Tz ipo AFCON as we speak Kenya haipo na ilifungiwa, tukija kwenye ligi kuu Tanzania ina ligi inayotambulika duniani kwamba ni ya tano Africa kwa ubora, wakati Kenya haipo hata 20 bora, huo ufanano unatoka wapi. Kuona ni kuamini, hakuna ufanano kati ya Tz na Kenya as far as soccer is concerned.
 
Gor vs Afc Leopards over 3M Gate collection. That is about 60M Tsh
View attachment 2776544
🤣🤣🤣 Hiyo ni amount ndogo sana mzee wangu .. most of the time Dar es salaam derby huwa ni full house.. cheki viingilio 👇wachana na hivyo viingilio vya VIP.. chukua pesa za ticket za regular tu hiyo elfu 7000×60,000(sits)=420,000,000

Roughly tukichukua pesa za viingilio za VIP basi Dar derby gates collection ni Kati ya 600m-700m

Hizo gates collection ya mashemeji derby zichezwe mara kumi ndio utapata gates collection za mechi moja ya Dar es salaam derby.. hizo simba day na yanga day tu ni full house 👇huku wala usituguse mjomba 🤣🤣🤣🤣
 
Sasa sahi ni 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…