Kupumzika nitapumzika ja wewe. Ila funzo nililopata si hilo. Ni nisijejidanganya eti namfumbua mbongo mgumu macho, hicho na kumpigia mbuzi guitar ni sawia kabisaa.Pumzika kaka ila tu usije sahau ukamdanganya mbongo utaumbuka
Kizungu kweli kiliwasili na meli na nikama kikaenda vivyo hivyo. Chukua nakala ya hio sehemu na uweke kwa English- Swahili translator, natumai itakufumbua machoNaona learning capacity yako iko very minimum bro yani mwandishi anakuekea figure ya 2011 na 2016 into percentage wewe bado unaleta calculations haha aisee usiku mwema
Endelea kujipa matumaini hii ni tz of 2017 my friend sio ile ya 90sKupumzika nitapumzika ja wewe. Ila funzo nililopata si hilo. Ni nisijejidanganya eti namfumbua mbongo mgumu macho, hicho na kumpigia mbuzi guitar ni sawia kabisaa.
If you have 50% in math, 60% in Swahili, 30% in English and 70% in French, you want to say you're incapable of calculating your average percentage?The given number were in percentage utazieka vp kwenye percentage wakat zishaekwa kwenye percentage au zipo calculation za percentage square??๐๐๐๐
If you have 50% in math, 60% in Swahili, 30% in English and 70% in French, you want to say you're incapable of calculating your average percentage because they're already in percentages?The given number were in percentage utazieka vp kwenye percentage wakat zishaekwa kwenye percentage au zipo calculation za percentage square??๐๐๐๐
We rudi shule tuHzo calculation ni za wapi ndugu???? ๐๐๐
Ikiwa muandishi amekupa figure ya 2011 it was 33% na amekupa figure ya 2016 ni over 65.3% hapo wewe unataka kupinga nini???? Try to be serious bro umepewa figure in percentage utaiekaje tena in percentage duhh
Nakuekea tena usome vzr
View attachment 630439
Sikushangai wewe unaeona english ni lugha ya maana sana ilihali bado unashindwa kuelewa nn kimezungumziwa hapo ๐๐๐๐๐ yani tanzania iongoze kua nchi ya kwanza africa kwa kusambaza umeme vijijini alaf leo uniambie 38% hahaha wakat REA 3 ikikamilika 2020 90% villages zote za tanzania zitakua na umemeKizungu kweli kiliwasili na meli na nikama kikaenda vivyo hivyo. Chukua nakala ya hio sehemu na uweke kwa English- Swahili translator, natumai itakufumbua macho
Hahaha yani leo umenifurahisha sana ๐๐๐๐ mwanndishi kaeleza kwa lugha rahisi 2011 percentage na 2016 percentage leo unataka kuchekesha umati bro sometimes try to be serious tanzania kwenye swala la uneme iko makini sana na ndio maana unaona leo inajenga one of the modern and second fastest electric train in africa yani ijenge treni ya umeme ikiwa haina umeme hahah๐๐๐๐If you have 50% in math, 60% in Swahili, 30% in English and 70% in French, you want to say you're incapable of calculating your average percentage because they're already in percentages?
Sasa unataka kusaidiwa kivipi kama article yenyewe huelewi, ungekuwa unabisha based on other agenda for example that the source is untrustworthy tungeelewa, (well i think the citizen Tz is a reliable source)Asante kwa hasira๐๐๐๐๐
Naona wabobea asteaste ndani ya wazimu kaka, eti Tanzania ya kwanza Africa katika usambazaji Wa umeme? Pigs might fly. Morocco, Algeria, Tunisia, SA, Ghana na Kenya etc ukazitoa Africa na kuzificha mkobani?Sikushangai wewe unaeona english ni lugha ya maana sana ilihali bado unashindwa kuelewa nn kimezungumziwa hapo ๐๐๐๐๐ yani tanzania iongoze kua nchi ya kwanza africa kwa kusambaza umeme vijijini alaf leo uniambie 38% hahaha wakat REA 3 ikikamilika 2020 90% villages zote za tanzania zitakua na umeme
Naomba ujisaidie hapo kwa mara ya piliSasa unataka kusaidiwa kivipi kama article yenyewe huelewi, ungekuwa unabisha based on other agenda for example that the source is untrustworthy tungeelewa, (well i think the citizen Tz is a reliable source)
Lakini sio kubisha the same report that we are reading ni wapi huelewi hapa....
Dar es Salaam. A total of 3,753, 615 households in Mainland Tanzania are electrified with any form of electricity out of 11,454,818 households, a new study indicates.
This is equivalent to 32.8 per cent of all households of Mainland Tanzania and is an increase from 18 per cent of all households connected to electricity in 2011/12.
Naona wabobea asteaste ndani ya wazimu kaka, eti Tanzania ya kwanza Africa katika usambazaji Wa umeme? Pigs might fly. Morocco, Algeria, Tunisia, SA, Ghana na Kenya etc ukazitoa Africa na kuzificha mkobani?
Hapo nakubaliana nawe. Tusibishane sana aibu uongeze, hiki kiwango kishakutoshaHaya sawa tusibishane sana ๐๐๐๐
Hapo nakubaliana nawe. Tusibishane sana aibu uongezee zaidi, hiki kiwango kishakutoshaHaya sawa tusibishane sana ๐๐๐๐
Naomba ujisaidie hapo kwa mara ya pili
View attachment 630501
Tanzania: 65 Per Cent of Tanzanians Live Below Poverty Line - allAfrica.com