Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatizo narrow thinking! Nadhani ndo sababu imemuondoa Malima maana alikuwa anaipigia debe Mwanza kama gateway ya Serengeti badala ya ku-market vivutio vya Mwanza kama kucheza na chatu au Sukuma museum!
 
Hivi si ni nyie mlidai kuwa mnapenda city bus zenyu za isuzu zenye nairobi culture, michoro, rangi rangi na kelele kubwa za mziki sassa hii utaitaje ni improvement?

Ndo ivo lakini hizi pia unakaa fiti!
 

The day Ukunya utapata airport decent namna hii njaa itaisha Kunyaland!
Yaani KIA ina vintage taste moja safi sana, so far ndio my favourite Airport Bongo, last time nimekuwa hapo kidogo niachwe na ndege, nilinogewa na beers za hapo restaurant na Smooth Jazz matata kabisa, waliita jina mara tatu mpaka waiter akasema nadhani ni wewe ndio wanaita……😅😅😅
 
Not anymore [emoji16]
 
Hivi si ni nyie mlidai kuwa mnapenda city bus zenyu za isuzu zenye nairobi culture, michoro, rangi rangi na kelele kubwa za mziki sasa hii utaitaje ni improvement?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] nakumbuka sana hizo kauli zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…