Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

After staying for several years in Tanzania and only visiting Nairobi for a couple days, they have fallen in love with kenya and think of moving here permanently. Na wengine wanaita ile nchi, nchi ya maziwa na asali
Hakuna visitor atatembelea Tz alafu atake kuishi nchi nyingine tofauti na Tz hapa EA hata wewe unajua.
 
Kwanza umeona hayo mazingira yanayoizunguka hiyo expressway [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂 Hawa jamaa wanatia aibu sana. Wameshindwa hata kuweka pavings tu. Sewage system hovyo kabisa. Itabidi waje kujifunza huku suala zima la kuwa civilized.
 
Eti Superior Neighbour 🤣
 
After staying for several years in Tanzania and only visiting Nairobi for a couple days, they have fallen in love with kenya and think of moving here permanently. Na wengine wanaita ile nchi, nchi ya maziwa na asali
They don't talk about Danganyika much.. It's like they were never there🤣🤣
 
Hii kitu bado sijaielewa, kwanini hilo gari lilisimama wakati barabara Iko wazi hakuna "road block?"

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Mkuu Kenya ni nchi dhaifu sana when it comes to security. Serikali isiyoweza kuwalinda au kulinda usalama wa raia wake hiyo Siyo serikali, ni takataka kama takataka zingine,
Nairobi unaporwa kweupe na hakuna anaejali, watu wanaendelea na mishe zao wewe ukiwa unaporwa (failed state)
Tofauti na huku bongo kwanza mtu akiitisha neno Mwiziii basi tegemea mauti kwa mtuhumiwa.
Hapo kuna uwezekano hao waandamanaji walisimamisha gari either kwa kuingia ndani na kumvamia dereva au hata kwa kuzuia njia kwa namna yoyote,
Hawashindwi hawa,
Tazama hapa Waandamanaji wakiwa wamepora gari ya polisi kisha wanapiga nayo misele Town mchana kweupe


Au tazama huyo police alivyoporwa simu na Vibaka mchana kweupe [emoji3][emoji3][emoji3]


Au tazama huyu mchina alivyokuwa anaviziwa na vibaka baada ya kuwategea simu fake Huku akiwarekodi. and no one cares ,
Imagine same situation in Tz, hawa vibaka angebaki majivu in no time.

Kuna Utafiti unaonesha 8/10 Kenyans are potential thieves.
 
Wakenya ni wajinga, wahuni pia wana tamaa, kila mtu Kenya anataka kuwa rais mpk mlinzi wa getini just imagine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…