Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ufaransa inaongoza kufuatilia Tanzania, hii ni mpaka kwa bongoflavas Ufaransa inaongoza kwenye viewers ukiachana na Africa, ni ajabu sana, mara nyingi huwa ni former colonial master kwa nchi za Africa!
But Kenya is the backbone of your tourism and music industry. Without Kenyans Tanzania will be nowhere to be seen.
 
But Kenya is the backbone of your tourism and music industry. Without Kenyans Tanzania will be nowhere to be seen.
Tanzania ina influence kubwa ukanda huu, ndio maana saivi ninyi mnaiga Tanzania kuongea, kuvaa, kula, lifestyle, mnasikiliza sana music, sermons, comedies kila kitu kuhusu Tanzania ni hot in Kenya
 
Tanzania ina influence kubwa ukanda huu, ndio maana saivi ninyi mnaiga Tanzania kuongea, kuvaa, kula, lifestyle, mnasikiliza sana music, sermons, comedies kila kitu kuhusu Tanzania ni hot in Kenya
What were you saying??

 
Sasa hata nikitaka kutengeneza hii nashindwa? Ukweli huu hapa namna gani tunavyoishi kwenye bongo zenu rentless

View attachment 2447800
Ebu tengeza hiyo Yako utuonyeshe🤣🤣😂.

For your information, nobody cares about Tanzania in Africa but Kenya is hotcake. Almost every country in East Africa wants to know what's happening in Kenya. Tanzanians thinks about Kenya every second of the day.

 
Katikati nyimbo zilizopo trendy kunyaland as I speak 70% ni za Tanzania, uongo kweli? 🤣
 
Sasa hata nikitaka kutengeneza hii nashindwa? Ukweli huu hapa namna gani tunavyoishi kwenye bongo zenu rentless

View attachment 2447800
This screenshot alone shows how you spend your time on google searching about Kenya. Google will only give you recommendation related to what you have been searching and that's why when you type Tanzania, Kenya comes along with it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…