Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huo ni ukwel pure hakuna chuki wala ubinafsi...sasa uyo manzi Kua actress maarufu ndio mkaamua kumuita ni mrembo mweusi wa dunia hahahaha maajabu sana, El umesema hatujafnikiwa umesahahu jamii forum unayopigia domo ni yetu[emoji23][emoji23]
mbona forum ni nyingi tu...wakenya kuwa hapa si kwa sababu wamekosa forum zao ila ni sababu ya kutaka kupata exposure na kujua mambo yanavoendelea nchi zingine...nimeingia forum moja ya Kiafrika Kusini juzi ila ni very boring..Nairaland tupo...Quora tupo...Kenyan forums pia tupo...tafta excuse ingine ndugu...
 
According to you any actor or actress must be naked. .....it takes something else to be a great actor and fashion star.Think.....

hasidi hana sababu


Wambie mwanangu,hasidi hana sababu. tutabanana na wao bega kwa bega na wakiona wamebanwa sana watasogea,ila sisi twajilinda na Shari ya hasidi.
 
Unaorodhesha hadi forums zs kikenya kweli!!
una jiabisha ndugu,
Mmejaa umimi kwenye forums zenu
full ukabila kiasi kwamba wageni ni ngumu kuchangia.
Kwanza mie hata kuingia kule nadhani toka mwezi wa tano
 
Unaorodhesha hadi forums zs kikenya kweli!!
una jiabisha ndugu,
Mmejaa umimi kwenye forums zenu
full ukabila kiasi kwamba wageni ni ngumu kuchangia.
Kwanza mie hata kuingia kule nadhani toka mwezi wa tano
by the way...sometimes zinaboa sana...
 
Hahahha uliskia wapi mpiga dili akasema yeye mpiga dili na hata mwizi hajiiti yeye mwizi we kazana kutoa maneno mengi lakini wembe wa magufuli uko pale pale hautakuacha salamaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hasira hasara
Achananae huyo jamaa, ni jay456watt, hiyo ni Id yake nyingine.
 
Ndugu yangu acha tu, vipanya vimechoka mno, na kuna zile canter za mizigo zimechongewa bodi jamaa wanasombwa humo kama magunia ya mahindi.
Hali bado iko ivo, city center yote Ukiendapo Jack n Jill, river road note kumejaa vipanya na fuso zenye leseni ya kubeba abiria
Hahaha kumbe wakenya wanasombwa na mafuso kama ng'ombe wanavyosombwa mnadani au kwenye machinjio duh ni hatari.
 
Beat it niqqa, Tanzania ni zero.. Swallow it hata kama kwa shida. Mpeeni maji ashushie
Dili tanzania mwiko asante uncle magu kaza hvo hvoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hata ukitapika namna gani dili tanzania ni mwiko pole sana na asante uncle magu bado kaza zaidiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Uncle magu atauwa watu aiseeπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
safi sana...watanzania wengi wamejaa ushabiki wa kijinga hapa...
Magu alisema ukiona mtu analalamika na kutoa povu sana ujue mpiga dili πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Uncle magu ataua aiseeπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…