Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

No! we save you minions from extreme poverty. Au unadhani hua munatupea bure. Tukona pesa my friend. Your are our shamba boys, you toil hard for the little penny we pay you.

Not really, Mtu mwenye pesa hawezi kuwa dependent kwenye ugali, that’s a typical poverty manifestation.
Sadly, it’s only Grains from Tz that you guys can afford,. Poleni.
A reason unaona vilio kila pembe ya Kenya .
 
Namna wakenya wanavyo uzwa na kuteswa Uarabuni inasikitisha sana. [emoji849][emoji849][emoji849]

 
Mwamba kanyoshaa maelezo 👏👏👏 nmeshangaa sana kuona kuna vingozi waafrika wanathubutu mpaka kuposti mtandaoni kuhusu kifo cha huyu malkia na hajawahi kuomba msamaha

 
Apart from this road there there is nothing dar really has to offer... Remove the Brt hype what else can you really show case from dar?
We can show you catenary systems for our sgr. Bado unataka kingine?
 
Not really, Mtu mwenye pesa hawezi kuwa dependent kwenye ugali, that’s a typical poverty manifestation.
Sadly, it’s only Grains from Tz that you guys can afford,. Poleni.
A reason unaona vilio kila pembe ya Kenya .
Ugali is our staple food. Lazima tuikule daily no matter the price tag. Punguza ujinga bana.
 
16 x number of houses could be mud and grass thatched houses we are talking about value of real estate in these cities.
Since 2016 when that world bank report was released what have Tanzania built? Nairobi has so far built more than $5B worth of buildings.
 
Mombasa City, outside CBD(nje ya Island): Nyali
(Minus the vast bungalows and maisonette residential: due to photograph restriction)





 

Attachments

  • 1662731537651.png
    362 KB · Views: 23
Imagine you rely on importation of your staple food, what a failed state.
tukizuia mahindi yetu yasije Huko it’s a nationwide crisis. Hahaha
Si mumekataa kuuza ju ya shortage. Wacha tuone kama hatutakula hio ugali. You are not so important ugali lazima tutakula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…