Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ww unanionesha range moja mm nimekuonesha zaidi ya 3

Nani maskini hapo mwenye tatu au mwenye moja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nani alikudanganya ni moja? 🀣🀣🀣

Ebu tuonyeshe official launch ya hio Range Rover mpya kwa hio dealership yenu bandia. 🀣🀣🀣
Hamna dealership ya Subaru ya Range Rover ndio mtatoa wapi? 🀣🀣🀣
 
Nani alikudanganya ni moja? 🀣🀣🀣

Ebu tuonyeshe official launch ya hio Range Rover mpya kwa hio dealership yenu bandia. 🀣🀣🀣
Hamna dealership ya Subaru ya Range Rover ndio mtatoa wapi? 🀣🀣🀣
Ndio hio hio the same πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Zimekua lakini hatuna kelele.





Hio amepost ni during official launch in Nairobi. Range Rover hawana official showroom bongo so huwezi elewa. Tanzania bado ni nchi maskini hata showroom ya Subaru au Mazda huwezi pata.
 
Nani alikudanganya ni moja? 🀣🀣🀣

Ebu tuonyeshe official launch ya hio Range Rover mpya kwa hio dealership yenu bandia. 🀣🀣🀣
Hamna dealership ya Subaru ya Range Rover ndio mtatoa wapi? 🀣🀣🀣
Huku wananua na wamekaa kimya hawana mbwembwe πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


 
Nani alikudanganya ni moja? 🀣🀣🀣

Ebu tuonyeshe official launch ya hio Range Rover mpya kwa hio dealership yenu bandia. 🀣🀣🀣
Hamna dealership ya Subaru ya Range Rover ndio mtatoa wapi? 🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Nionyeshe dealership inayo uza hio Range Rover mpya bongo nifunge account sahii. Munanua mtumba kila kitu hadi suruali ya ndani.🀣🀣🀣
 
Njooni mnunue tunayo kama yote tutawauzia.
 
Upanzi wa mahindi haina faida kifedha. Its ROI is low compared to other cash crops. If you didn't understand the English version, I hope you now understand what I meant
Saizi tuko kwenye mchele,na siku zinakuja hakuna raw maize itaruhusiwa kuwa exported bali unga tuu.
 
Kunyaland kwenye masuala yanayohusu gas mtupishe kabisaa..

Kuanzia gas ya kupikia hadi gas za viwandani πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220801-142707.png
    78.3 KB · Views: 25
  • Screenshot_20220801-142820.png
    60.9 KB · Views: 24
ichoboy01 nionyeshe Bentley Dealership in Tangangiza nifunge account sahii. 🀣🀣🀣 Hamna dealership za magari mpya na unataka kupiga kelele hapa kama kuku inataka kutaga. Fungueni hata dealership ya Subaru mupunguze aibu.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…