Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukiondoa JNIA na 3 blue towers Mombasa>>>>>Dar slum
Kwamba Mombasa ina electrifitried SGR
Kwamba Mombasa ina BRT
Kwamba Mombasa ina highway
Kwamba Mombasa ina modern stadiums
Kwamba Mombasa ina modern markets
Kwamba Mombasa ina modern bus terminals.

Sasa piga hesabu kama hayo yapo ka Nairobi njoo tuzungumze [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Don't they know that Kenya is the only country in this region where many people go to beds hungry and others die of hunger yearly?[emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
🤣🤣🤣 Wacha kuongea uongo we kilaza
 
Kenyans wameanza kugundua kumbe wadanganyika ni watu fake full of jealously na roho mbayaView attachment 2268027
Mbona mmechelewa sana kujua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yani mnajua leo kwamba watanzania hawana shobo na mtu? Kinachowasumbua nyinyi ni wivu mlio nao baada ya kugundua watz hatushobokei wazungu wala lugha yao na bado tunatoboa. Nyie Wakunya mmebaki na reasons za kitumwa eti kisa lugha, yn Wakunya wao wapo na lugha tu, tunawapita maendeleo wao wanakazania lugha tu, wakija kustuka tunawatawala [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kaka natarajia kurudi Nairobi Friday,naomba tuonane ila usije na wahuni wako maana watu wa Nairobi ni kama chuga tu uhuni mwingi sana
Usikubali kukutana na hawa jamaa, usifanye Hilo kosa, utajuta maisha yako yote Kama utabahatika kuwa hai, hawa watu kutoa uhai wa binadamu kwao ni kitu kidogo Sana.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Lugha yenyewe wanaongea broken tupu hata waliomo humu. Nje ya Nairobi hakuna english Kenya bali kijaluo, kikuyu, kiluya, kimaasai, kikamba and the likes. Ndio maana Kenya haipo hata kwenye top 10 ya nchi za kiafrica ambazo watu wake wanaongea kiingereza kwa ufasaha.
 
Kaka natarajia kurudi Nairobi Friday,naomba tuonane ila usije na wahuni wako maana watu wa Nairobi ni kama chuga tu uhuni mwingi sana
Siku moja utafika tu Nairobi kaka. Kwa sasa endelea kudownload mipicha mitandaoni na kudai umezipiga mwenyewe
 
Kenyans wameanza kugundua kumbe wadanganyika ni watu fake full of jealously na roho mbayaView attachment 2268027


You are the FAKES ones. Just walk down the memory lane and pay witness to how Kenya betrayed their fellow Africans. Kenyans and Malawians are Frogs of the same pond while the ignorant folks of Zimbabwe and Zambia are dead from the neck up.

Tanzanians are vibrant, conscious of historical development and consequentially, treat people for who they really are. A traitor is an enemy - only fools embrace a traitor.
 

Kwamba Dar ina Oil refinery

Kwamba Dar ina Oil jetty

Kwamba Dar ina Deep Sea Port

Kwamba Dar Ina Clover leaf interchange

Kwamba Dar ina Shipyard

Kwamba Dar ina real estate

Kwamba Dar ina Tourism/ nightlife

Kwamba Dar ina operational Sgr

Hebu jibu hizi, kabla niendelee kukupiga nyundo
 
Kenyans wameanza kugundua kumbe wadanganyika ni watu fake full of jealously na roho mbayaView attachment 2268027

Got mistreated multiple times by Tanzanian police because of my Kenyan number plates.

I've never experienced more corrupt traffic police officers than those Tanzanians, and that's saying something coming from a Kenyan.

At least over here they'll take Ksh100 and leave you alone. In TZ they see Kenyans and see money, and it doesn't matter whether you break any traffic rules.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…