Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyamakima machangudoa ya Kikunya yamepollute streets zote kwa biashara zao za kuuza kipochi manyoya 24/7

Hawking ndio iwape mawazo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mtafurama kujifurahisha, kama kweli mnaochoongea kina ukweli leteni statistics kama hizi zikionesha impacts,

Wakunya wametapakaa kwenye mabaa na vijakazi mpaka uchumi wenu umekubali hustle zao

View attachment 2262895
Because tumewekeza Tanzania kwa wingi.., yaani over 500 companies lazima faida tulete nyumbani, pesa zenu tunazivua, sio kwa kuomba omba na hawking things kwa streets.., nyie mifukara bana, wacha kujichanganya., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Ukiambiwa uzoom utakavo lalambele heee........
Unataka tuzoom tuone hadi ndani ya dream house inavyokaa ama? Na wewe ile picha ya Kisumu uliyosema ni slum ulizoom? Kilaza wa mwisho!
 
Hawa na wale Wakunya wanakufa njaa Turkana nani ana ahueni?

Ukweli imekukera, licha ya matatizo ya Kenya bado mifukara kutoka EAC ikiongozwa na Tanzania wanakimbia Kenya kutafuta hela., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mifukara kingdom, msingekua mnauzwa Uarabuni kama nazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
We mpumbavu remittance haihusiani na investment, ulisoma wapi wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hawa vilaza ni wajinga sana. Eti mtu anasisitiza hii picha ya Kisumu ni slum πŸ‘‡


Alafu eti hii hapa sio slum πŸ˜‚

Mwishowe unaambiwa eti "zoom" πŸ˜‚
As if yeye alizoom ile ya Kisumu anayosema ni slum!
 
Hawa wajinga wanadhani tunacheza nao. Sasa UN imeingilia kati kutetea haki za Maasai.
kazi yenu ni kuropoka tu...
mshajulikana mlijaribu kuleta propaganda na hao UN wataingilia kati na hawatokuta kosa lolote kutoka Tz
endeleeni kujidanganya
 
Watatafuta kila namna ya kupingana na ukweli lakini kila mti minyani inakwea unateleza.., FACTS SCREAMS LOUDER, than opinions πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Tuna angalia hard facts sio vi opinion vya tweeter na malalamishi ya magazeti.., narudia; World Bank, IMF, CAG, TANROADS, Google Earth ndio kiboko ya mtanzania.., nyie mifukara ukubali ukatae mko hovyo sana
Kama hivi au sio [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We mpumbavu remittance haihusiani na investment, ulisoma wapi wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe mjukuu peleka ujinga mbali, heri ungefyata tu., what is remittances? do u know the source of those remittances? nyambaff πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Aerial view never lies [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


View attachment 2262798
Uzuri nishakuonyesha hayo maeneo. Nilete sehemu yoyote hapo Dar inayofanana na hapo Riverside nje ya cbd na kijiko ya nyama. You must be at pains ukikumbuka this is what your city looks like
 
Kama hivi au sio [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2262933
Alafu Tanzania worse than Kenya and all EAC and SADC member countries.., World bank, sio tweeter, kwa vile nikikuuliza ulete link ya WB utahangaika, hili niliumbua bana sijasahauπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tuoneshe hawkers wa Kenya wanauzaje.

Incase of beggars, hao wameona waje nchi inayoruhusu beggars. Kenya tatizo la beggars linaanzia serikalini, Tanzania hairuhusu omba omba ndio maana hao wameona waje nchi ya ombaomba, huku wangepata tabu.
now this is a true picture of kenyan style of hawking.. u get your place and establish yourself there well..

 
Sasa kama Dar jiji lenu kuu ndio panafanana hivyo sasa hizo miji zingine zikoje? You should even be ashamed if yourselves
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…