Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Githeri man on Churchill Show

Hunger is in an exceptional levels in Kenya. Hivi huyu jamaa wanamlipa or wanamtumia tu? Dah! Jamaa alijibebea KIPORO chake cha MAKANDE na kukiweka kwenye RAMBO bila aibu dah! Njaa mbaya sana.

Wengi wenu huko Kenya mnaishi maisha ya mmbwa, yaani maisha ya kichuga-chuga! wazee wanjaaa, aka wanjaa-njaa Jazz-Band.
 
View of Upperhill at Night
Apo ni mataa na ma edit tu ukweli huu APA

Maafisa 92 wa polisi nchini Kenya wamelazwa hospitalini Nairobi na viunga vyake wakihofiwa kuugua ugonjwa wa kipindupindu, wizara ya afya nchini humo imesema.

Maafisa hao wamelazwa katika hospitali ya taifa ya Kenyatta, hospitali ya Sinai na katika hospitali ya wanawake ya Nairobi Women's.



spensa_e
 
Mnaanza kujifariji kwamba MNA brt , hiyo ikitoka apo airport mpaka town ni 8 hrs [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

spensa_e
hiyo inazunguka tu within the airport ground.... haiwezi kutoka nje ya hapo kwenda let's say moi/kenyatta avenue b'se the road infrastructure in CBD area is not supporting bus rapid transport system(BRT).
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nairobi Kenya.
Airport Transport to the CBD
So where is this bus stopping in CBD ? 😀😀😀😀😀 NOMA SANA. So this Bus is just ferrying passengers from inside the Airport top CBD? Ina maana hao watu hawapiti Imigration. Does not make sense na acha uongo.

hilo bus sana sana limetoa abiria kwenye ndege hadi kwenye arrival gate au kutoka departure gate hadi kwenye ndege . sasa hili linabeba abiria toka kwenye ndge moja kwa moja CBD?
 
So where is this bus stopping in CBD ? 😀😀😀😀😀 NOMA SANA. So this Bus is just ferrying passengers from inside the Airport top CBD? Ina maana hao watu hawapiti Imigration. Does not makre sense na acha uongo.
Uongo? Uongo vipi kaka? Ama huamini hizi basi zipo JKIA?
 
Mnaanza kujifariji kwamba MNA brt , hiyo ikitoka apo airport mpaka town ni 8 hrs [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

spensa_e
Mna BRT na ni kama hamuelewi BRT ni nini!! BRT is a system, this are just buses!! Who said they are BRT? Duuh
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
MR Wanjala kudanganya watu hilo basi linaenda CBD kaharibu sana. 😀
 
MR Wanjala kudanganya watu hilo basi linaenda CBD kaharibu sana. 😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Half building half antenna

Poor Kenyans
Ahaaaaahaaaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2]

spensa_e

Yea, It won the prestigious Global award in Architecture in The USA 2016. Dar will take another 100 years to get any architectural masterpiece. Architectural masterpiece is not glass, glass only conceal poor architecture.

Example of architectural masterpiece


Cute building with no architectural superiority


That is why, it is said, Dar is yet to get any architectural masterpiece. Kenya has Several including the famous KICC in Nairobi Kenya




And now this, Britam joins it


Just like this Songdo City Tower
 
Masterpiece ya antennas in Nairobi apo sawa , or Babylon Masterpiece antenna city Nairobi

spensa_e
 
ndio kusema wewe mkenya unajuwa sana maana ya BRT kushinda sisi ambao BRT tunaishi nayo?...smh...[emoji23] [emoji23]

Yes, Kama hapa mimi na post Airport bus mtu ananiambia BRT, huoni hapo kuna shida!! Don't think Kenyans don't know about BRT/MRT/TRAM services

In fact, Kenyans are debating which one is fit for Nairobi. They are studying the situation in Nairobi in line with these modes of transport.

One will be build after all the roads are made to international standards around Nairobi. Not having a tram in the CBD with poor roads around it.




Then this will be build


Then Comes the BRT/MRT or Tram/Light rail




A study was done on China's Tram services, followed by Ethiopia, A study has been done on MRT and BRT including DART Dar es Slaam.

All this is to make sure the one chosen will fit and be suitable for Nairobi.

Kenyans are not copycats

Tanzania is!!!
Always following what Kenya do!!

Things are done with a plan, that explains why Nairobi is well planned while Dar is terribly planned.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…