Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

safi mfunze huyo maana akili yake anajua kama dar yote ni unplanned na anafikiria .....kama huku hakuna plan zozote zinazoendelea nakufanyika kwa hili jiji

ila mwisho wa siku watakuja hapa nakusema kweli dar imetuacha ila kwa sasa tuendelee nao ivi ivi
 
safi.......
 
[emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nyie ndiyo mnapaswa kujichunga......maana hapa tutabishana ila at ze end of ze day Tanzania lazima iwe top in east africa and central........yaani hili halipingiki
Lol......number two inaumanga watanzania sana....Hahaha. na vile mko lazy mtapita Kenya vipi......Hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…