Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bado mmekazana na report ya 2016? Ebu tuonyeshe ni nini mmejenga from 2016 to 2021 to guarantee the same gap remain constant.
Lete report mpya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bado mmekazana na report ya 2016? Ebu tuonyeshe ni nini mmejenga from 2016 to 2021 to guarantee the same gap remain constant.
Kwahiyo we unavyodhani tuliwapita 2016 alafu tukasimama [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Lete report mpya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
In 2016, Nairobi only had 1 tower (Times Tower) of 30 floors while Dar had 7 seven towers of 30 floors and above. Fast forward to 2021, Nairobi has 11 complete towers of 30+ floors with other 16 towers of 30+ floors currently under construction while Dar is still stuck at 7 with no new tower coming up.
 
Hayo ni maneno na wishes zako ila internationally inajulikana hivi mpk leo [emoji116][emoji116][emoji116]
 
Yani Dar real estate iliiacha Nairobi real estate kwa $3bn, gape kubwa mno kupita maelezo, nafikiri kwa ss inaweza kuwa tumewazidi mpk $6bn. Shida ni kwamba Nairobi zinajengwa cheap real estates.
 
Kwahiyo we unavyodhani tuliwapita 2016 alafu tukasimama [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
You din't have anything so your government was building that's why it raised then mkapotelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…