Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

source skyscrapercity πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hata mm naeza fungua thread nikapost utumbo au nasema urongooooo
 
kwa inavofahamika 30 and above nairobi ni sita tu hata ukipanic haidaidiiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
GTC asante mchina 43
GTC asante mchina 35
prism 34
UAP 33
britam 31

hayo mengine jaribuni tena baadae πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kwa inavofahamika 30 and above nairobi ni sita tu hata ukipanic haidaidii[emoji3][emoji3][emoji3]
GTC asante mchina 43
GTC asante mchina 35
prism 34
UAP 33
britam 31

hayo mengine jaribuni tena baadae [emoji23][emoji23][emoji23]

Pamoja na Kelele zote Dar Ipo stagnant upande wa kujenga Majengo na bado tu hawajatoboa? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila vitower vya 20F vinawabeba au?
 
asante kwa matumaini yalio mengi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pamoja na Kelele zote Dar Ipo stagnant upande wa kujenga Majengo na bado tu hawajatoboa? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila vitower vya 20F vinawabeba au?
alaf wanakuja kuongopa eti GTC ina over 30 majengo manne πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani wanatuona humu wote hatuna akili
 
Niletee taarifa yoyote inayosema kwamba only two buildings in GTC are over 30 floors. Mimi naweza kukuletea hundreds of sources saying that all but one are over 30 floors. Mnasumbuka kweli midanganyika
uehhehehehhe msikieni huyu mjinga mwenzako teargass alipogundua ukweli humuoni mpaka kesho akizungumzia tena mada ya GTC πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Daa mkuu yaani wee acha tuu asee, mimi Magu nilianza kumuita "my president" tangu yupo waziri enzi hizo 2011 nikaweka picha lake facebook asee, yaani huyu mzee alijitoa kweli kweli jamani. Kumtusi ambae kishalala haipendezi kabisa kwa desturi zetu
JPM alikua hajielewi bana wewe ndo maana akakufa corona aliyokua anakataa
 
Si unaona ni kwa nini nasemanga hapa kila siku kwamba wewe ndio mtanzania mjinga kushibda wote humu ndani? Unapinga facts and you can bring any information to back up your claims? Si waona ulivyo mjinga? These are GTC Residential towers, Nataka uhesabu uniambie kama hazijafika 30 floors.



 
hesabu hata kwa macho ukipata zaidi ya 30 mm nafunga acc jamii forumπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mukiambiwa ukweli munakua wakali ww huoni mwenzio mzee wa kuhesabu floors alikimbia kwa aibu
 
mm nimehesabu na hazijafika 30 ww unataka kushindana na waliojenga wenye project yao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
alaf wanakuja kuongopa eti GTC ina over 30 majengo manne πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani wanatuona humu wote hatuna akili
Wacha nikuongeze over 20 floors zingine tulisahau kuweka kwenye ike list yenu uendelee kutolea povu kama kawaida. Yani zipo nyingi hadi zingine tunasahau kuweka

Afya Center - 21 floors
Hilton Hotel - 20 floors
Postbank House - 20 floors.

That takes Nairobi's count to around 45 buildings wakati nyinyi bado hamjafika hata 30. Number mtasoma sana mibongolala
 
yani hata kwa hili pia tubishane πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
View attachment 1990197
Hutabadili huu ukweli bongolala hata ulie machozi ya damu. Aliye na macho haambiwi tazama na kama uko na shida ya macho uliza mtu akuhesabie. The residential tower on the left is clearly 31 floors and anyone can easily count that

Number mtasoma sana
 
mm narudia tena ukweli ndio huu hata ukikasirika haisaidii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
kwa inavofahamika 30 and above nairobi ni sita tu hata ukipanic haidaidiiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
GTC asante mchina 43
GTC asante mchina 35
prism 34
UAP 33
britam 31

hayo mengine jaribuni tena baadae πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…