Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So do you.
But at least us we can say what we want, associate the way we want, criticize the way we want etc. without fear of imprisonment.
your criticism render no affect to the kenyatta's and their friends
(the elite/black colonialist of kenys)

they own you,they control you,you pay them rent cos you are a tenant in their houses in Nairobi,they own large part of your land.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hawakawii atakuambia nayo wameiupgrade....hiyo ni 1999[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamaa wajipange upya kabisa. Tunaijua Kenya A to Z. Waache nyodo za kishamba.
 
Nioneshe nini sasa? Hatuna shule za hivyo Tanzania. Sisi kila kijiji wanajenga shule na mwaka jana tulikuwa tunachangia madawati. Hakuna shule Tanzania ambayo haina madawati.

haha... watanzania wenzako wamesoma hii na wanajua unadanganya. anyway, continue showcasing your stupidity.
 
haha... watanzania wenzako wamesoma hii na wanajua unadanganya. anyway, continue showcasing your stupidity.
Sasa kama nadanganya weka ukweli wewe mwenyewe. You know nothing about Tanzania my friend.
 
Sasa kama nadanganya weka ukweli wewe mwenyewe. You know nothing about Tanzania my friend.
ok. quality ya education ya Kenya ni bora kuliko ya tz.
i mean a child from a poor family in Kenya is likely to succeed in life compared to a child from a rich family in tz
 
ok. quality ya education ya Kenya ni bora kuliko ya tz.
i mean a child from a poor family in Kenya is likely to succeed in life compared to a child from a rich family in tz
Umekubali kwamba shule zenu ni mbovu kama mabanda ya nguruwe!?
 
We don't have such thing in our country. Tafuta picha kama utaona hiz information
This here is school in Nairobi

Makina Self-Help Primary School (Nairobi)

School in Nairobi
Duuhh hii ni shule au mabanda ya bataπŸ˜€πŸ˜€
 
ok. quality ya education ya Kenya ni bora kuliko ya tz.
i mean a child from a poor family in Kenya is likely to succeed in life compared to a child from a rich family in tz
Kusingekua na gap kubwa between rich nad poor in kenyaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Vijana wengi hawana maisha kenya wamebakia kua vibaka na machokoraa
 
Hatu lease tunanunua cash tofautisha mambo
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ 2018 ndio zinakuja ndege nne kwa pamoja cs 300 mbili na drem liner mbili....cash deal
Hizi dreamliner umeziota sana kwani wewe ndio utakua captain,u need to get ratings za 787 zikikam atleast uwe first officer umezisifia sana lol
How can a stupid guy call another person stupid??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…